Kocha wa klabu ya Leicester Brendan Rodgers amenukuliwa alimsifia kocha wa klabu Roma Jose Mourinho kuwa ni moja ya mocha bora wa kizazi cha sasa japo kuwa miaka ya karibuni amekuwa hana mafaniko makubwa kwa muda sasa.

Leicester anaikaribisha Roma kwenye mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Europa Conference League siku ya alhamisi. Mourinho ni mchezo wake wa kwanza kurudi kwenye ardhi ya uingereza tangu afungashiwe virago kwenye klabu ya Tottenham mwaka jana.

 Brendan Rodgers
Brendan Rodgers

“Hana cha kuthibitisha kwa yoyote, yeye mara zote ni mshindi. Siwezi kuzungumza juu zaidi yake. Yeye ni bora kwenye kizazi chetu. Mourinho amefanikiwa kila kitu.

“Hakuna alichoacha, amekuwa bora kwenye nyanja mbalimbali za mchezo. mtu wa kufuatilia wa maelekezo, na mmeneja bora wa wachezaji, uelewa wake wa kuendana na mbinu mbalimbali za mchezo,  alikuwa na ubora usio nakifani nilioweza kuuona.

“Sina kitu zaidi ya kuvutiwa naye. Nimekuwa kocha kwa misimamo yangu lakini sitasahau nilichopata kutoka kwake kama kocha kijana. Nilimsoma na kumwangalia kwa wakati huo kiukweli kilikuwa kipindi maalum.” alisema Brendan Rodgers


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa