Brighton Wamepoteza Huduma ya Kaoru Mitoma Kuelekea Safari Yao ya Kucheza Dhidi ya Leeds United.

Fabian Hürzeler amesema kuwa jeraha la msuli wa nyuma ya paja la Kaoru Mitoma limemaliza msimu wake, hivyo hatacheza katika safari ya Brighton & Hove Albion kwenda kuwatembelea Leeds United kwenye uwanja wa Elland Road.

Brighton Wamepoteza Huduma ya Kaoru Mitoma Kuelekea Safari Yao ya Kucheza Dhidi ya Leeds United.

Mats Wieffer bado ni shaka kutokana na majeraha, huku kikosi kinachotarajiwa cha Brighton kikiwa: Verbruggen; Veltman, Van Hecke, Dunk, De Cuyper; Baleba, Gross; Kadioglu, Hinshelwood, Minteh; Welbeck.

Leeds United kikosi kinachotarajiwa dhidi ya Brighton kinajumuisha Dominic Calvert-Lewin na Georginio Rutter Nmecha (Nmecha) katika safu ya ushambuliaji, huku Ethan Ampadu akiwa na shaka ya kucheza. Mechi hii ni ya mwisho ya Leeds nyumbani msimu huu.

Mpaka sasa Brighton wapo nafasi ya 7 kwenye msiamamo wa ligi baada ya kucheza mechi zao 36 wakiwa na pointi zao 53. Je timu hii inaweza ikapambana kwenye mechi hizi zilizobaki wacheza michuano ya Europa au Conference league?

Brighton Wamepoteza Huduma ya Kaoru Mitoma Kuelekea Safari Yao ya Kucheza Dhidi ya Leeds United.

Timu hiyo inatafuta pointi 3 wikendi hii dhidi ya Leeds huku mara ya mwisho kukutana kati yao, waliondoka na ushindi wakiwa nyumbani. Leo hii wapo ugenini, Je Leeds wanaweza wakalipa kisasi?.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.