Kipa wa Juventus, Gianluigi Buffon amepigiwa kura kuwa ni golikipa bora wa muda wote na wachezaji wenzie wa nafasi hiyo.
Kupitia chapisho la Gazzetta Dello Sport la nchini Italia magoli kipa 18 bora kutoka mataifa tofauti, wa zamani na sasa walipiga kura kumchagua golikipa bora wa muda wote.
Moja wapo ya makipa waliopiga kura ni pamoja na Manuel Neuer, Julio Cesar na Peter Schmeichel.

Manuel Neuer : Gianluigi Buffon na Lev Yashin
“Gigi ni mtu mkubwa sana, mwenye tabia ya kushangaza. Kwangu yeye amekuwa mfano, sio tu uwanjani kama kipa mzuri na mwenye maoni mazuri, lakini pia utu nje ya uwanja, Ni ajabu alichokifanya katika miaka 26 iliyopita. ”
Peter Schmeichel: Alishindwa Kuchagua
“Gigi ni mmoja wa makipa wazuri ambao wameanzisha jukumu hili,” Schmeichel alisema. “Sisi sote tumeleta habari kadhaa na tumefanya vizuri na mitindo tofauti, kwa nyakati tofauti na ligi. Bora? Swali gumu sana “.

Julio Cesar: Gianluigi Buffon, Cláudio Taffarel na Rogerio Ceni
“Chaguzi zingine za kushangaza kutoka kwa Cesar, ambaye alimpigia kura Buffon pamoja na raia wake wawili wa Brazil.”
Matokeo ya Mwisho:
1. Gianluigi Buffon: Kura 7
2. Lev Yashin – Kura 5
3. Dino Zoff – Kura 2
Kutoka katika kura 18 za magolikipa zilizopigwa Buffon alishinda dhidi ya Yashin.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?




Adelta
Gigi Yuko vizuri Sana
Sania
Buffon baba lao
Angelina
Anastahili kwakweli
Sarah
Buffon Yuko vizuri
Shakila mrope
Anastaili sifa zote
Caroline
Hongera Bufforn.
Sabrina
Kijana yupo vizuri
felister
anastahili
Fatuma kasomo
Saf yupo vizur
Dorophina
Pongezi kwake buffon
Mwanahamisi
Kijana anafaa sana
Neema juma
Anafaa sana
Saupha mohamed
Jamaa anajua
Devotha
Hongera sana kwake
Hopemwaikuka
Nakubalii
Lydia Emmanuel Magoti
Hongera yake anajua sana
Magdalena
Kipa mwenye mfano wa kuigwa
warda
Ni kitu kizuri wachezaji wenzio wakikubali
Ernest Kimeru
Hili Halina ubishi