Bundesliga: Vikosi Tarajiwa Mechidei ya 27

Ni muda wa mechidei ya 27 ya michuano ya Bundesliga. Borussia Dortmund wanatarajia kuwa kepteni wao, Marco Reus atarejea kabla ya kumalizika kwa msimu huu…

Meridianbet.co.tz inaangalia nani ambaye atakuwepo uwanjani na ambaye atakosekana wikiendi hii tukiachana na mechi za jana zilizomalizika tayari.

Jumapili, tarehe 24 Mei

Schalke vs. Augsburg (inachezwa saa: 1.30pm CET/12.30pm GMT/7.30am ET)

Schalke: Schubert – Kabak, Sane, Nastasic – Kenny, McKennie, Serdar, Oczipka (c) – Caligiuri, Raman – Burgstaller

Nje: Harit (misuli), Mascarell (nyonga), Todibo (kifundo)

Wanaohofiwa: Stambouli (hayupo fiti)

Kocha: David Wagner

Augsburg: Luthe – Framberger, Gouweleeuw, Jedvaj, Max – Khedira, Baier (c) – Richter, Löwen, Vargas – Niederlechner

Nje: Finnbogason (goti), Giefer (mguu)

Wanaohofiwa: Schieber (ugoko)

Kocha: Heiko Herrlich

 

Cologne vs. Fortuna Düsseldorf (inachezwa saa: 6pm CET/5pm GMT/12pm ET)

Cologne: Horn – Ehizibue, Bornauw, Leistner, Katterbach – Skhiri, Hector (c) – Kainz, Uth, Jakobs – Cordoba

Nje: Risse (goti)

Wanaohofiwa: –

Kocha: Markus Gisdol

Fortuna: Kastenmeier – Zanka, Hoffmann, Gießelmann – Zimmermann, Stöger, Morales, Berisha, Suttner – Karaman, Hennings (c)

Nje: Ayhan (amezuiwa), Steffen (goti)

Wanaohofiwa: Kownacki (goti), Tekpetey (paja)

Kocha: Uwe Rösler

41 Komentara

    Kinawaka tena leoo

    Jibu

    Leo ndo leo

    Jibu

    Wazeee wa kubet…fursa ndo hiyo.
    Asante kwa habari za kimichezo#meridianbettz

    Jibu

    hii iko poa sana

    Jibu

    Leo mambo moto lazima kieleweke

    Jibu

    habar za kufurahisha

    Jibu

    Duh gud news kwa wapenda kandanda na wazeee wa mikeka thanks meridian bet tz#

    Jibu

    Safi sn kwa wapenda wazee wa kubet meridianbet nyny hatari hatari

    Jibu

    Waooooo safii sanaa

    Jibu

    Kivumbi leo

    Jibu

    Af

    Jibu

    Safi Sana 👏👏

    Jibu

    Mechi zote kali ,si ya kukosa leo.

    Jibu

    Taarifa nzuri #meridianbettz

    Jibu

    Habar safi

    Jibu

    Mtoto atumwi dukan leo

    Jibu

    Mambo mazuri

    Jibu

    Uhondoo

    Jibu

    mambo mazuri hayo ndani ya meridian mko vizuri

    Jibu

    Utajiri ushaanza kuonekana na meridianbet

    Jibu

    utajir umfata shujaa

    Jibu

    Leo ndo leo mambo yote bull bull

    Jibu

    Hii inapendeza Sana

    Jibu

    Mambo moto#meridianbettz

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Kinawaka tena leo

    Jibu

    Leo ndio leo

    Jibu

    Leo ndio leo

    Jibu

    Hii iko powa sana

    Jibu

    Habari nzr

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Ujerumani kumekuwa kugumu sana

    Jibu

    Leo kinawaka

    Jibu

    Kinahappen uko wazee wa mikeka utajir ndio huu unakosaje kubet

    Jibu

    Hatali 🔥🔥

    Jibu

    Hapatoshi mambo yameaza

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    N wakati wa kujipatia mapesa huu

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Leo kitaeleweka

    Jibu

    Ni habar njema kwa wazeee wa jamvi

    Jibu

Acha ujumbe