Mchezaji wa Tenisi namba moja kwa ubora Uingereza, Cameron Norrie ametolewa kwenye mashindano ya Monte Carlo Masters baada ya kufungwa seti tatu na mhispania Albert Ramos-Vinolas.

 

Norrie, Cameron Norrie OUT Monte Carlo Masters., Meridianbet

Ramos-Vinolas anayeshika namba 37 kwa ubora duniani alipigana na kushinda kwa seti 6-4, 2-6 na 6-4 katika pambano lililodumu kwa masaa 2 na dakika 31 na kuwa ushindi wake wa 8 dhidi ya mpinzani aliye katika kumi bora.

Ramos-Vanos sasa ameshinda mapambano yake yote manne aliyocheza dhidi ya Norrie, wakati ushindi wa pekee wa kwanza mhispania huyo ukiwa katika uwanja wa Queens mwaka uliopita.

“Siku zote tumekuwa na mchezo mzuri pamoja na yupo katika kumi bora, kwahyo kwangu ni ushindi mzuri,” alisema Ramos-Vinolas baada ya ushindi wake.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa