Kocha wa Everton – Carlo Ancelotti amenukuliwa akisema angemsajili mwanariadha Usain Bolt kama watu wanabeza mbio za James Rodriguez.
Katika mchezo wao dhidi ya Totenham, ulikuwa ni mchezo wa kwanza kwa James kwenye Ligi ya EPL. Kwa hakika alionesha uwezo wake na kile alichodhamiria kukifanya akiwa na timu ya Everton.
Katika mchezo huo ambao Everton waliibuka na ushindi wa goli 1-0, James alitoa pasi 5 muhimu zaidi ya mchezaji mwingine yeyote pamoja na kutibua mashambulizi manne.
Akihojiwa na SkySports baada ya mchezo huo na kuulizwa kama James anahitaji muda wa kuizoea EPL, Ancelotti amesema,” Sina mashaka na uwezo wake, ningekuwa nina mashaka, ningemsajili Usain-Bolt sio James.
“James sio mchezaji mwenyekasi zaidi duniani lakini anakiwango kikubwa, tunatakiwa kumtumia kuonesha kiwango chake.
“Sio winga, lakini anaweza kuingia ndani na kufanya mashambulizi, ni mchezaji hatari. Wachezaji wanaoweza kucheza mpira, hawahitaji muda ili wazoee, James anajua anachotakiwa kukifanya, Allan na Doucoure vilevile.
“Niliwaambia waoneshe viwango vyao na wameonesha. Tulikuwa na viungo wazuri msimu uliopita, wenye viwango wakiwa na mipira, lakini unapaswa kuwa na kiwango hata bila mpira.”
Everton wanalengo la kumaliza katika nafasi 6 za juu msimu huu, Carlo Ancelotti anaamini timu yake wanauwezo wa kufanikisha hilo.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.
Flomena
Good news
Asia Abdy
Nice
warda
Carlo ni mtu mwenye msimamo na anamkubali sana James#Meridianbettz
Elika
Carlo anajikubali pia anajielewa
Caroline
Safi Sana umeona mbali
Adelta
Carlo yupo vizuri anajikubali @meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Carlo nimtu mwenye msimamo Sana anamuerewa James
felister
Carlo anaiamini timu yake
Fatina
Carlo yupo vizur
Janeflora malisa
Kijan yupo vzr
Latifa juma mohamed
Kijana anatisha
Zeiyana
Mda wake James wakuonesha kipaji chake
Mwanahamisi
Kijana yupo vizuri
rama
duuuu ikali ange sajili mwa riadha tena
Rose kapinga
Usajili umepamba motoo
Fatuma kasomo
Anaimani na tim yake
Tatu
Carlo anawawamini wachezaji wake aliowasajili ndio maana hakuta kumuongeza mtu
Salma ngende
Duh!
Hopemwaikuka
Jamanii
Ernest
Msimu huu wa 2020/2021 ni msimu wa maajabu kwa Everton
Rehema
Eeeeh bwana
Theonestina
Atar
Amiri Kayera
Ni kwer kabisa
Sabrina
Carlo anajua anachokifanya hababaishi na anaamini kile anachokifanya
Gabriel
Kwel kabisa
Tumaini kasalile
Mbona james Yuko vizuri
Saupha mohamed
James yupo vizuri
Genia Sikaluzwe
Yuko vizuri
Theckla
Hadi msimu uishe tutasikia nengi
Dorophina
Kocha yupo sahihi kabisa
Sauda
Ame
Nasra
Kocha yupo sawa
magdalena
kocha anaona mbali ila ndo hivyo ishakuwa ngumu
Neema
Kocha yuko sahihii kabisa
Povel
Natumain EVerton bonge la suprize msimu huuu Epl
Samiah
Ypo sahihi kocha
David Pere
Msimu huu wa 2020/2021 ni msimu wa maajabu kwa Everton