Carlos Vinicius Atua Kwa Mkopo Tottenham.


Tottenham Hotspur wamejinasia huduma za fowadi Carlos Vinicius, 25, kwa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Benfica ya Ligi Kuu ya Ureno.

Kocha Jose Mourinho amekuwa akitafuta mshambuliaji mwenye uwezo wa kushirikiana vilivyo na nahodha Harry Kane kwenye safu ya mbele ya Tottenham ambao pia wanajivunia kiwango cha Son Heung-Min na usajili wa Gareth Bale aliyetokea Real Madrid kwa mkopo.

 

 Carlos Vinicius Atua Kwa Mkopo Tottenham.

Carlos Vinicius ambaye ni raia wa Brazil, aliwafungia Benfica jumla ya mabao 24 katika kampeni za Ligi Kuu ya Ureno muhula uliopita wa 2019-20.

Ingawa fowadi huyo wa zamani wa Napoli ya Italia ana kifungu kitakachomweka mnunuzi wake katika ulazima wa kuvunja benki ili kumsajili, Mourinho ana matumaini kwamba Tottenham watajitwalia kabisa huduma za Vinicius mwishoni mwa msimu huu wa 2020-21.

 

 Carlos Vinicius Atua Kwa Mkopo Tottenham.

Itawagharimu Tottenham kuweka mezani kiasi cha £36m ili kukamilisha uhamisho wa Carlos Vinicius kwa mkataba wa kudumu mwishoni mwa msimu huu.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

37 Komentara

    Gud news

    Jibu

    piga kazi songa mbele kijana usiangalie nyuma

    Jibu

    Habari njema iyo

    Jibu

    kila la kheri

    Jibu

    All the best

    Jibu

    Vizuri Sana piga kazi Carlos utafika unapo pataka jembe

    Jibu

    Carlos uko vinzur sana endelea kuongeza juhudi

    Jibu

    Kapige kazi Carlos kambi popote

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Maisha popote angalia maslai

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Hapa imelamba dume

    Jibu

    Piga kaz kijana

    Jibu

    Vinicius utam wa benfica tunatakiw tuone spurs

    Jibu

    Sio mbaya pambana hata hapo

    Jibu

    Kafanye kazi kijana

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Piga kazi

    Jibu

    saf

    Jibu

    Kila la kheri huko uendako

    Jibu

    Totenham on fire vinicius ataimarika hapa

    Jibu

    Spurs on fire 🔥🔥🔥 Epl and EURopean

    Jibu

    yuko vzr

    Jibu

    Kila la heri

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Habar njema.

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Kapige kaziii vyema

    Jibu

    Safi sana 👍

    Jibu

    Habari kwa mashabiki wa totenham

    Jibu

    Sawa tuu

    Jibu

    Maisha popote

    Jibu

    Fresh tu piga kazi

    Jibu

    Totenham on fire vinicius

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.