Mshambuliaji wa Klabu ya Manchester United, Edinson Cavan, jana Novemba 29 aliingia akitokea benchi na kutupia mabao mawili  na kuifanya Manchester United kushinda mabao 3-2 dhidi ya Southampton ikiwa ugenini kwenye mchezo wa Ligi Kuu England.

Nyota huyo raia wa Uruguay aliingia dakika ya 45 kipindi cha pili akichukua nafasi ya Mason Grennwood  na alifunga mabao hayo mawili na kutoa pasi moja ya bao.

Cavani, Cavani Awasha Moto, United Ikishinda, Meridianbet

Manchester United ilikwenda mapumziko ikiwa imefungwa mabao 2-0 ila kipindi cha pili ilipindua meza kibabe.

Bruno alifunga bao dakika ya 59 kwa pasi ya Cavan na yeye alipachika mabao dakika ya 74 na 90+2.

Cavani, Cavani Awasha Moto, United Ikishinda, Meridianbet

Southampton walipata mabao yao mawili kupitia kwa Jan Bednarek dakika ya 23 na James Ward-Prowse dakika ya 33.


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

Cavani, Cavani Awasha Moto, United Ikishinda, Meridianbet

INGIA MCHEZONI

13 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa