Cazorla: Xavi Anaweza Kuinoa Barcelona Sasa!

Santi Cazorla kwa muda mrefu alikuwa kama mmoja ya wachezaji talanta kubwa na ubunifu zaidi katika solka la Uhispania, na alishtua wengi wakati alipomua kuondoka Villarreal kujiunga na Xavi huko Qatar na Al-Sadd.

Akiongea katika mahojiano ya kipekee na Diario AS, Cazorla aliuzungumzia vyema ufundi wa Xavi kama mkufunzi na alifafanua kwamba anaamini rafiki yake yuko tayari kuichukua Barcelona sasa.

“Alipostaafu alifanya kozi hiyo, akaanza kuipenda na kisha akaamua, Amekuwa mfano kwangu katika suala hilo, ukweli alisubiri kuamua. Mara baada ya kustaafu nataka kuwa msimamo wa aina hiyo. Ana sifa kamili ya kuwa kocha. Unaweza kusema anaweza kuifundisha Barcelona kesho.”

Santi Cazorla Xavi

“Nadhani amejiandaa. Anawajua wachezaji vizuri na anajua jinsi ya kufanya akiwa na wachezaji. Amekuwa akicheza hadi hivi karibuni na anajua jinsi ya kuvuna kitu bora zaidi kutoka kwao, ingawa haijalishi unachezaje ikiwa haushindi.” -Cazorla

Cazorla amesisitiza kuwa yeye anakubali sana misimamo ya Xavi, na anaamini anaenda kuwa kocha bora zaidi kwa mbinu alizonazo na uzoefu wake kama mchezaji.

Xavi kwa muda mrefu amekuwa akionekana kama mtu anayeweza kufanana na Pep Guardiola huko Barcelona, ​​mtu anayeweza kuingia kwenye klabu na kuthibitisha uwepo wake.

Mmoja wa wanasoka waliopfanikiwa zaidi wa wakati wote, baadhi ya mataji yanayompa heshima Xavi ni pamoja na mataji nane ya La Liga, Manne ya ligi ya Mabingwa, European Championships na Kombe la Dunia.

 


 

MSHINDANI HUSHINDA BWANA!

Anayejaribu hawezi kutoka kapa Meridianbet! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia ushindi mkubwa kila unapojaribu kuingia mchezoni. Washindi hushindana, ingia mchezoni!

Fairy-in-Wonderland_Casino-Post_25-January

CHEZA SASA

16 Komentara

    Xavi anafaa sana

    Jibu

    Asante meridian bet kwa makalara nzuli

    Jibu

    Yuko vizuri xava

    Jibu

    Iko poa sana

    Jibu

    Ni Jambo jema

    Jibu

    Itakuwa poa sana

    Jibu

    Iko njema san

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Ngoja tuone kama xavi ataweza kweli

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Namkubalii

    Jibu

    Nadhani Xavi bado hajakomaa vya kutosha kufundisha Barcelona, anahitaji muda zaidi wa kujifunza na kukomaa.

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Itakuwa poa sana

    Jibu

    Itakua vizuri

    Jibu

    Xav ndie sahh

    Jibu

Acha ujumbe