Cedric Kaze Kocha wa Yanga amesema presha ni kubwa kuhusu mechi yao ya kesho wakicheza na Simba “Kesho tunaenda kucheza mechi kubwa na inahusisha Klabu kubwa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla, tumejiandaa vizuri na tunaamini tutakuwa na mchezo mzuri”
Cedrick kaze
Cedrick kaze

“Ukweli presha ya mchezo wa kesho ni kubwa lakini presha hiyo ipo kwenye mechi zote tunazoenda kucheza kikubwa ni maandalizi lazima yawe mazuri kwenye kila mchezo tunakwenda kucheza”

“Mechi ya Derby ni mchezo special kwa Watu wote, Mashabiki, Wachezaji na kila mmoja wetu cha kufanya ni hakikisha tunajiandaa kukabili hisia zetu tunapokwenda kucheza mchezo huu”

Cedrick Kaze
Cedrick Kaze

“Tunakwenda kucheza mchezo wenye nidhamu kwasababu tunajua tunaenda kukutana na mpinzani mzuri na mwenye uzoefu na kila mchezaji anafahamu umuhimu wa mechi ya kesho kwetu sote na naamini kesho tuna nafasi” Kocha msaidizi Cedric Kaze, Yanga.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa