Celtic Bingwa Scottish Premiership

Celtic wamethibitishwa kuwa mabingwa wa Scottish Premiership kwa mara ya tisa mfululizo na Hearts kushuka daraja baada ya msimu wa SPFL kumalizika mapema.

Maamuzi yalifanya na bodi Jumatatu baada ya vilabu 12 kukubali kumalizaka kwa Ligi mapema wiki iliyopita.

Pointi sawa kwa mchi ndio mfumo uliotumika kukamilisha msimamo wa mwisho wa Ligi.

Mabadiliko yaliyofanyika tangu ligi iliposimama Machi 13 ni St Johnstone kupanda nafasi ya sita juu ya Hibernian.

Celtic walikuwa alama 13 juu ya wapinzani wao Rangers – walikuwa na mchezo mmoja zaidi wakati msimu ukisimama.

Hearts walikuwa alama nne chini ya Hamilton Academical.

Mwenyekiti wa SPFL, Murdoch MacLennan amaipongeza Celtic na kuhuzunishwa na Hearts kushuka daraja na kusema ligi ilibaki bila chaguo lolote zaidi ya kumaliza.

23 Komentara

    Good news 👍@# meridianBetTZ

    Jibu

    Ahsante meridian kwa taarifa #meridianbettz

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Hongeren wapenz na mashabik wa Celtic thanks meridian kwa update

    Jibu

    hongereni mashabiki wa celtic

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Wanastahil pongezi mara tisa mfululuzo sio mchezo

    Jibu

    Meridianbettz Asante kwa taarifa

    Jibu

    hongera zao celtic kwa kua mabingwa mara tisa mfululizo.#meridianbet

    Jibu

    Congratulations Celtic FC kwa ubingwa

    Jibu

    Safi Sana celtic

    Jibu

    Celtic hawavumi lakini wamo hongera Celtic.

    Jibu

    Hongera Celtic

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    Hongera kwa Celtic ila ni kweli Ligi bila Hearts itapooza sanaaaa

    Jibu

    Hongera kwao cerltic

    Jibu

    Huko juu hakuna mpizani hearts kagoma kushuka daraja

    Jibu

    Good news!

    Jibu

    Hongera kwa RANGERS kuweza kushiriki tena Uefa europa league …YNWA SG8

    Jibu

    Hongera Sana kwa ubingwaa

    Jibu

    Hongereni sana kwa ubingwa

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

Acha ujumbe