Clatous Chama anaendelea vyema na program yake ya matibabu na huenda akarejea mazoezini mapema wiki ijayo
Baada ya kushauriana na Madaktari wa Simba ilionekana ni busara kumpa ruhsa ya kupumzika na kujitazamia vyema ili arejeshe utimamu wa mwili

Kwasasa anaendelea vyema na atajiunga na program ya mazoezi ya timu baada ya kukamilisha program yake binafsi
Kwa wenzetu Professionals sio suala tu la kucheza mpira, bali kucheza mpira ukiwa fit na kuipa timu matokeo, ndicho alichokihitaji Triple C na timu ya Madaktari

Imeandikwa na Farhan Jr.
Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.