Nyota na fundi wa kikosi cha Simba, Mwamba wa Lusaka Clatous Chama amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa wiki katika raundi ya 5 ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Katika Mechi dhidi ya AS Vita ilipigwa katika Uwanja wa Mkapa, Simba kushinda 4-1, Chama alifunga magoli mawili na kusaidia moja huku mengine yakifungwa na Luís Miquissone na Rally Bwalya.

Chama
Rally Bwalya

Chama ameibuka mshindi na kutajwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuwashinda Amir Sayoud [CR Belouizdad], Ricardo Goss [Mamelodi] na Ferjani Sassi [Zamalek]

Ni mara ya pili sasa kwa klabu ya Simba kupata mchezaji bora wa wiki baada ya awali Luis Miquissone kuchaguliwa katika raundi ya pili.

Simba
Luís Miquissone

INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

chama, Chama Mchezaji Bora wa Wiki CAFCL, Meridianbet

CHEZA HAPA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa