Klabu ya Chelsea inajiandaa kupeleka ofa ya hadi pauni milioni 150 ($ 207m / € 175m) kwa mshambuliaji nyota wa Borussia Dortmund, Erling Haaland, kulingana na jarida la 90min.

Haaland na Kylian Mbappe wanachukuliwa kama washambuliaji bora zaidi wa vijana wanaoweza kupatikana kwenye soko la uhamisho, na baada ya Manchester United kumsajili Jadon Sancho.

Chelsea imekuwa ikihusishwa na Haaland kwa kipindi kirefu sasa huku wakiwa bado hawajapeleka ofa rasmi kwa mchezaji huyo anayeitumikia miamba ya ujerumani.

Vilabu kadhaa vimekuwa vikihusishwa na mchezaji huyo ikiwemo Real Madrid, Manchester City na Paris Saint-Germain huku vilabu vya England na Spain wakipigiwa chapuo kumsajili.


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa