Chelsea inaripotiwa kupima uwezekano wa kuleta mlinzi mpya wa kati klabuni hapo katika msimu huu wa usajili.

The Blues, ambao walishinda fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa kuchapa Manchester City 1-0 Jumamosi usiku, inasemekana wanapanga kusaini fowadi mpya katika soko lijalo.

Lakini, kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa Italia Fabrizio Romano, kikosi cha Thomas Tuchel pia kina nia ya kusaini beki mpya wa kati na kwa sasa ‘wanatafuta fursa kadhaa sokoni’.

Chelsea Mbioni Kusajili Beki Mpya

Thiago Silva anatarajiwa kusaini mkataba mpya wa mwaka mmoja huko Stamford Bridge, lakini Fikayo Tomori anaweza kuondoka klabuni hapo na kujiunga na AC Milan kwa makubaliano ya kudumu.

Raphael Varane wa Real Madrid amehusishwa na kuhamia Chelsea, wakati mchezaji huyo wa Ufaransa akionekana kujiandaa kutafuta klabu mpya baada ya Euro 2020.

Wakati huo huo, wamiliki wa Kombe la Uropa pia wanadhaniwa wanamtaka Niklas Sule, ambaye anaweza kuruhusiwa kuondoka Bayern Munich wakati wa msimu huu wa usajili wa majira ya joto.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa