Chelsea Mmepatwa Na Nini?

Hali sio shwari kunako klabu ya Chelsea. Matokeo ya siku za karibuni hayaendani na uwekezaji uliofanywa na Roman Abramovich.

Chelsea wamepoteza nafasi kadhaa za kuongoza msimamo wa EPL na matokeo ya sare dhidi ya Aston Villa yameishusha timu hiyo mpaka nafasi ya 6.

Frank Lampard ameambulia pointi 4 katika mechi 5 alizocheza siku za karibuni na hali imeanza kuwa mbaya klabuni hapo.

Licha ya kwamba timu hiyo imepoteza mchezo 1 kati ya 14 iliyocheza kwenye uwanja wake wa nyumbani, bado matokeo ya kikosi hicho hayaendani na uwekezaji wenye thamani ya takribani pauni milioni 220.

Lampard aliwasajili Ziyech, Werner, Mendy, Havertz, Thiago Silva na Chilwell kama sehemu ya kuboresha kikosi hicho lakini hali haijawa hivyo.

Chelsea
Timo Werner

Kwan Lampard anakwama wapi? Timu hii inauwezo wa kutwaa ubingwa wa EPL msimu huu?

Mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo – Chris Sutton amegusia hilo alipozungumza na BBC Radio 5. Sutton amesema “Kwa sasa ni klabu yenye matatizo kwa sababu wanacheza chini ya kiwango.

“Frank Lampard anapaswa kupata matokeo ya ushindi haraka iwezekanavyo, tofauti na hapo, kama tunavyojua, mambo huwa yanabadilika Chelsea.

“Sidhani kama Chelsea wanaweza kushinda ubingwa. Wanahitaji kurudi kwenye ubora wao kwanza.”

Lampard atamkaribisha Pep Guardiola kwenye mchezo dhidi ya Man City mapema mwezi Januari 2021.


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

20 Komentara

    Poleni sana chelsea kwa kipigo😀

    Jibu

    Pole yao chelsel

    Jibu

    Poleni san Chelsea

    Jibu

    Ukianguka jipanguse Anza safari msikate Tamaa chelsea

    Jibu

    Polen sana chelsea

    Jibu

    EPL imekuwa na changamoto sana msimu huu kiasi kwamba timu zilizofanya usajili mkubwa makocha wao wapo katika pressure kubwa sana

    Jibu

    Mambo yanazid kuwaendea kombo

    Jibu

    Lampatd aangalie timu yake vizur

    Jibu

    Naamini watakuwa fresh wasikate tamaa

    Jibu

    Chelsea sijui imekuwaje msimu huu

    Jibu

    Chelsea mnakwama wapi

    Jibu

    Timu mbovu ishakuwa

    Jibu

    Chelsea mnazingua sanaa!

    Jibu

    Chelsea hawana jipya

    Jibu

    Mambo yatakuwa sawa tu

    Jibu

    Ndo mchezo kesho unapanda kesho kutwa unashuka

    Jibu

    Chelsea sijui wanakwama wapi

    Jibu

    Chelsea mnatuangusha

    Jibu

    Chalsea mnazingua siku hizi

    Jibu

    Poleni sana chelsea

    Jibu

Acha ujumbe