Stamford Bridge leo Februari 28 majira ya saa 1:30 utachezwa mchezo mkali wa Ligi Kuu England ambao unatarajiwa kuwa mkali mwanzo mwisho.

Chelsea, Chelsea Vs Manchester United, Meridianbet

Ni Thomas Tuchel kocha mkuu wa Chelsea ambaye atamkaribisha ndugu yake Ole Gunnar Solskjaer wa Manchester United.

Tambo kwa makocha wote wawili zimetawala ambapo kila mmoja ameweka wazi kwamba anahitaji pointi tatu muhimu.

Kocha wa Chelsea amesema:“Kwenye kila mchezo kwetu tunahitaji ushindi na tuna amini kwamba na washindani wetu wanahitaji ushindi hivyo tutapambana muda wote,”.

Chelsea, Chelsea Vs Manchester United, Meridianbet

Kocha wa Manchester United Ole amesema:“Ni ngumu kusema kwamba hatuhitaji ushindi ndani ya uwanja, tutapambana ili kupata matokeo mazuri,”.

Tuchel atakosa huduma ya beki mkongwe, Thiago Silva huku United wao nyota wao Paul Pogba, Edinson Cavani hawa ni majeruhi.

Chelsea, Chelsea Vs Manchester United, Meridianbet

Kwenye msimamo Chelsea ipo nafasi ya tano na pointi zake ni 43 inakutana na United iliyo nafasi ya pili na pointi zake 49.


ENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET

BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.

Chelsea, Chelsea Vs Manchester United, Meridianbet

CHEZA HAPA

6 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa