Antonio Rudiger na Wasiwasi wa Hatma Yake Chelsea

Antonio Rudiger alitemwa kwenye kikosi kilichofungwa dhidi ya Liverpool Jumapili. Kutokuwepo kwake kikosini hapo kumezua gumzo juu ya hatma ya nyota huyu pale Chelsea.

Antonio Rudiger ameshindwa kuwa kwenye fomu nzuri katika msimu wa kwanza wa Frank Lampard, amechaguliwa kwenye mechi moja tu ya ufunguzi dhidi ya Brighton & Hove Albion.

Licha ya kuingia uwanjani, nyota huyu mwenye miaka 27 alibadilishwa na Fikayo Tomori walipokuwa wanakutana na Mabingwa wa Ligi ya Primia, Liverpool.

Chelsea: Wasiwasi Hatma ya Antonio Rudiger
 

Kwa mujibu wa Daily Mail, mpaka sasa kuna ishara kuwa Chelsea wanajiandaa kuagana na Rudiger kabla ya kuisha kwa dirisha la uhamisho.

Chelsea wanadaiwa kuwa wapo kwenye mpango wa kuboresha zaidi safu ya ulinzi, na kwa sajili ambazo wameshazifanya wanahitaji kuuza wachezaji kadhaa kukamilisha suala hili.

Japokuwa Tomori pia alikuwa anahusishwa na kuondoka Chelsea, lakini namna alivyotia bidii kwenye mechi dhidi ya Liverpool inaweza kubadilisha mtazamo wa Lampard. Hii inamaanisha Rudiger anakuwa kwenye hati hati zaidi ya kuondoka klabuni hapo.

Hata hivyo, Lampard amekanusha madai ya kuwa kuna mpango wa nyota huyu kuondoka klabuni hapo.


 

FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

36 Komentara

    uyu kiungo ana mchango mkubwa sana pale chelsea

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Antonio Rudiger hakuwa kwnye fomu ila ni Jambo ambalo linawatokea sana wachezaji sio la kumfanya lampard amtimue maana Antonio Rudiger bado n mchezaji mzur sana

    Jibu

    Ni kiungo ambae lampard anamhusudu vilivyo

    Jibu

    Antonio Rudiger hakuwa na msimu mzuri hasa mechi za mwisho wa msimu hata hivyo nadhani anasitahili kubaki na kupata nafasi ya pili kama Kepa anavyopewa nafasi nyingine ya kucheza#meridianbettz

    Jibu

    Daa kikosi kilipwaya Sana Antonio Rudiger ni mchango mkubwa Sana apo Chelsea kuwa majerui ndio kuchangia kupigwa kichapo kile

    Jibu

    Hakuna jipya hapa Rungu la kipepe linamsubiri

    Jibu

    Kwa uwezo alio honesha Rudiger sijui kama lampard hataweza kumuuza tena

    Jibu

    Duuh

    Jibu

    Kiungo uyo anamchango mkubwa sana chelsea#Meridianbettz

    Jibu

    Ni kiungo mzuri sanaaa

    Jibu

    Kaz kwao

    Jibu

    yuko vizuri

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Antonio rudiger ni kiungo mzuri sana

    Jibu

    Kiungo bora

    Jibu

    Chelsea ktk sajili zao waangali wasije kuuza huyu kijana

    Jibu

    Hakuna maajabu hapo

    Jibu

    🔥

    Jibu

    Hakuna kazi hapo

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Uyoo ni kiungo muhimu mnoo

    Jibu

    Ni kiungo mzr sana

    Jibu

    Aongeze juhud Sana kupata nmba

    Jibu

    Rudiger ni mhimil mzur sema lampard hamp nafasi

    Jibu

    hakuna jipya apo anauzwa tu uyo

    Jibu

    Bado yuko vizuri

    Jibu

    Mmmh safiii

    Jibu

    Antonio Ni mchezaji mzuri sana arsenal lkn inabidi akubaliane na hali harisi maisha popote pale

    Jibu

    Pole yake lkn atapata tu timu

    Jibu

    Mambo yamekuwa magumu kwa upande wake

    Jibu

    Mambo magumu

    Jibu

    Ni kiungo matata sana

    Jibu

    Ameinyanyua sana Chelsea

    Jibu

    fomu ila ni Jambo ambalo linawatokea sana wachezaji sio la kumfanya lampard amtimue maana Antonio Rudiger bado n mchezaji mzur sana

    Jibu

    Wasikubali kushindwa

    Jibu

Acha ujumbe