Klabu ya Chelsea FC kutoka katika katika jiji la London, England imefanikiwa kuandika rekodi mpya baada ya timu ya wanawake na wanaume kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa katika msimu mmoja.

Chelsea wanaandika rekodi hii ambayo haijawahi kuandikwa na klabu yoyote yenye timu ya wanawake, Chelsea FC Women walifanikiwa kutinga fainali ya UEFA baada ya kuwanyoosha Bayern Munich Women.

 

chelsea, Chelsea Yaandika Rekodi Baada ya Kutinga Fainali UEFA., Meridianbet

Katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali Bayern Women walifanikiwa kuwafunga The Bluez Women magoli 2-1 kabla ya The Bluez kuja kupindua meza na kushinda 4-1 pale Cobham Stadium.

Jana The Bluez walifanikiwa kuwaadhibu Real Madrid kwa magoli 2-0 na kufuzu fainali kwa jumla ya magoli 3-1 katika dakika 180 walizocheza.

Fainali hizo zote zitapigwa mwezi huu wakati Chelsea Women watakapovaana na Barcelona Women tarehe 16 mwezi huu, wakati The Bluez Mens watavaana na Manchester City tarehe 29 jijini Instanbul, Uturuki.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

chelsea, Chelsea Yaandika Rekodi Baada ya Kutinga Fainali UEFA., Meridianbet

SOMA ZAIDI

 

16 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa