Timu ya Chelsea imeanza michezo ya kuelekea ligi kuu ya Uingereza kwa kibabe sana baada ya hapo jana kushinda magoli 6-1 dhidi ya Peterborough United.
Katika mechi ambayo ilishuhudia wachezaji wengi walicheza, lakini Ziyech ndiye aliyekuwa nyota wa mchezo huo akifanikiwa kufunga goli 3.
Chelsea inajiandaa na msimu ujao baada ya kumaliza nafasi ya nne katika msimu wa 2020/2021 na pia walishinda taji la ligi ya mabingwa Ulaya.
Timu hii ya Uingereza itaanza mishe mishe zake za ligi kuu ya Uingereza msimu wa 2021/2022, ambapo wataanza kampeni yao ya kwanza dhidi ya Crystal Palace.
Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!