Klabu ya Chelsea imeripoti kukuataliwa kwa offer yake ya tatu kwa ajiri ya kumsajiri mlinzi wa klabu ya Leicester City Wesley Fofana baada ya klabu hiyo kuweka offer ya kiasi cha £70milion ili waweze kumuachia.

Mpaka sasa klabu ya Chelsea imeshatumia kiasi kinachokaribia £180milioni kwenye dirisha hili la usajiri, huku wakiwa bado wanatarajia kufanya sajiri kwenye nafasi ya winga, mshambuliaji na mlinzi wa kati kabla ya dirisha kufungwa.

Chelsea, Chelsea Yakataliwa Offer Yao ya Tatu kwa Fofana, Meridianbet

Chelsea pia wanafanya mazungumzo na klabu ya Everton kuangalia uwezekano wa kumpata mshambuliaji wake Anthony Gordon. Pia kuna taarifa zimeanza sambaa kwa kasi kuwa Chelsea wako kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajiri wa Pierre-Emerick Aubameyang kutoka Barcelona.

Klabu ya Leicester ili waweze kumuachia mlinzi huyo kwenda kujiunga na The Blues, basi itawapasa mabosi wa Chelsea walipe kiasi kinachokadiriwa kufikia £70milion kupata huduma yake.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa