Kulingana na Jarida la Goal, Klabu ya Chelsea wamekubali Euro milioni 40 (£ 34m / $ 47m) kama ada ya uhamisho wa Tammy Abraham kutoka Roma katika mkataba utakaohusisha kumnunua tena.

 

chelsea, Chelsea Yakubali €40 Million kwa Abraham., Meridianbet

Meneja mkuu wa Roma, Tiago Pinto anataka kumaliza makubaliano hayo haraka, wakati Edin Dzeko akitarajiwa kuondoka kwenda Inter kama mbadala wa Romelu Lukaku anayetarajiwa kujiunga na Chelsea.

Abraham, 23 bado hajakubali masharti binafsi licha ya mazungumzo na Jose Mourinho na huku kukiwa na nia kutoka Arsenal.

Kipengele cha kumnunua tena katika mkataba wake kutaifanya Chelsea kumsajili tena mshambuliaji huyo hapo baadae kwa dau ambalo limepangwa na halitabadilika.

Ingawa Abraham ameshindwa kumshawishi ya bosi wa sasa Thomas Tuchel, bosi wa baadaye wa Blues anaweza kutaka kumuona nyota huyo akirejea London.


SHINDA NA TIKI REWARD KASINO

Unaanzaje siku yako bila kuwa na pesa, Meridianbet kupitia kasino zake za mtandaoni inakupa sababu ya kufanya siku yako kuwa njema. Mchezo maarufu wa Tiki Reward unaweza kukufanya milionea. Cheza sasa kibingwa!

Tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa