Klabu ya Chelsea imeripotiwa kuweka orodha ya wachezaji 10 ambao wataondoka klabuni hapo Ili kupisha maingizo mapya katika majira haya ya kiangazi.

Taarifa za ndani za Chelsea, zinasema wachezaji wafuatao wamewekwa katika orodha ya kuondoka msimu huu wa joto.

1-Fikayo Tomori (Tetesi – AC Milan)
2-Tammy Abraham (Tetesi – West ham, Aston Villa)
3-Kurt Zouma (Unknown)
4-Olivier Giroud (Tetesi – AC Milan)
5-Zappacosta (Tetesi – Inter Milan)
6-Ross Barkley (Tetesi – Aston Villa)
7-Timoue Bakayoko (Tetesi – Roma)
8-Michy Batshuayi (Tetesi – Crystal Palace)
9-Drinkwater (Unkown)
10-Emerson (Tetesi – Inter Milan )

Kocha Thomas Tuchel baada ya kukaa na mmliliki wa timu Roman Abramovic na Bodi ya Chelsea anahitaji kuboresha kikosi chake kwa ajili ya mapambano ya msimu ujao.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa