Chelsea wanamuwinda Mshambulizi wa Brentford ambaye anajumuishwa kwenye orodha ya wachezaji wanaotazamiwa kusajiliwa na vilabu vya Everton na Man United, na Brentford wanajipanga kupata ofa kabla ya dirisha la usajili kufungwa. Mlengwa nambari 1 wa Chelsea katika nafasi ya mshambuliaji wa kati ni Pierre-Emerick Aubameyang.

chelsea, Chelsea,Everton Wameungana na Manchester United katika Kuwania Kumnunua Ivan Toney., Meridianbet

Lakini Chelsea, wanaweza kubadili mtazamo wao kwa Toney ikiwa kutakuwa na usumbufu katika mpango huo, na kocha wa The Blues Thomas Tuchel huenda akafanya usajili wa washambuliaji wawili wa baada ya kuwapoteza Romelu Lukaku na Timo Werner.

chelsea, Chelsea,Everton Wameungana na Manchester United katika Kuwania Kumnunua Ivan Toney., Meridianbet

Man United imekuwa ikimtazama Toney kama chaguo la kuziba pengo la mshambuliaji ambalo tayari wanalo. Na ikiwa Cristiano Ronaldo ataondoka basi wanaweza kufanya usajili wa washambuliaji wawili, ambapo United imekuwa ikimfuatilia Toney msimu wote wa joto kwa mujibu wa Jarida la The Mirror.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa