Chilwell Aitaka Chelsea ya Lampard.


Ben Chilwell amepanga kuiambia klabu yake ya Leicester City wiki hii kwamba anataka kujiunga na Chelsea.

Kocha wa The Blues, Frank Lampard anatamani kumuongezea Mchezaji huyo kwenye beki yake ya kushoto kwenye kikosi chake kuelekea msimu mpya wa EPL.

 

Chilwell Aitaka Chelsea ya Lampard.
Ben Chilwell

Chilwell, 23, amekuwa Leicester tangu akiwa na umri wa miaka 12 na yuko chini ya mkataba hadi 2024.

Lakini sasa anatarajiwa kufanya mazungumzo na Klabu yake ili aweze kujiunga na Chelsea ambayo imefanya Muingereza huyo kuwa chaguo la Kwanza.

Uamuzi wake sio tu kwamba Leicester imemaliza nafasi ya tano na kukosa nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa nyuma ya Chelsea iliyo nafasi ya nne.

 

Chilwell Aitaka Chelsea ya Lampard.
Ben Chilwell

Kusudi lake ni kuhama na kwenda ambapo anajikuta akicheza kwa miaka mitano hadi sita ijayo katika kikosi cha kwanza.

Beki huyo alikosa mechi tano za mwisho za Leicester akiwa na jeraha la mguu na nafasi yake alichukua Nyota wa England U19, Luke Thomas kwenye michezo mitatu iliyopita.


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

Cheza Hapa Sasa

 

43 Komentara

    Endapo deal la Ben Chilwell kwenda Chelsea litakamilika basi utakuwa mpango mzuri sana kwa Chilwell kung’aa zaidi kwenye ulimwengu wa soka kwani atakutana na wachezaji wengine mahiri na kukifanya kikosi cha Chelsea kuwa tishio zaidi.

    Jibu

    Chilwell hongera kwa maamuzi yako kwani muda mwingine kubadilisha mazingira inasadia sana kila la kheri huko uendako chelsea

    Jibu

    Acha aende tu akajiunge na timu yoyote tu anayoipenda yy ata kam sio chelsea kwan maamuzi ni yake yy#Meridianbettz

    Jibu

    Chilwell angalia Kwanza maamuz yako,usikurupuke ukaenda kujuta mbele ya Safar!!!!

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Blues wataje dau lake maana mchezaji mwenyew ashaonyesha nia

    Jibu

    Kama Chelsea kaona panamfaa na dau likawa zuri aende tu

    Jibu

    Ben Chelsea kunamfaa sana na anajua kucheza mpira kwa umahiri yote atawakilisha vyema

    Jibu

    Chilwel Yuko vizuri
    #meridianbettz

    Jibu

    Chelsea waonyeshe dau lao mana mchezaji ameshaonyesha nia

    Jibu

    Asanteni kwa taarifaa meridiani.

    Jibu

    Makala nzur

    Jibu

    Habari nzuri.

    Jibu

    Ni vizuri Sana . Chelsea ni timu nzuri

    Jibu

    Makala nzr

    Jibu

    Chilwell yupo vizuri kwakweli

    Jibu

    Hakika kocha wa Chelsea anaandaa kikosi Bora sana kwa msimu ujao

    Jibu

    Chilwell kambi popote

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Ahsante kwa makala#meridianbettz

    Jibu

    Taarifa nzuri sana

    Jibu

    Makala mazur

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Jambo zur

    Jibu

    Aende akapambane

    Jibu

    Chelsea club kubwa aje apambane

    Jibu

    Taarifa nzuri Sana kwetu sisi mashabiki wa mpira

    Jibu

    Mambo mazur

    Jibu

    Kikubwa awe na maamuzi sahihi

    Jibu

    Hii ni habari njema

    Jibu

    Atahama sawa lkn aina ya wachezaj wa hv wanaenda kushuka kiwango tu

    Jibu

    Habari nzur kwetu mashabiki

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Chilwell ameipend chelsea iyo itampa unafuu lampard

    Jibu

    Yupo sahii sana chilwell hatoka arudi kwenye majeraha hameonekana hana nafasi tena pale Leicester bora haende Chelsea

    Jibu

    Muamuz ni yy

    Jibu

    Makala mzuriiii

    Jibu

    Makala imekaa poa

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Kama lampard akimchukua na huyu ataifanya Chelsea kuwa na ukuta mgumu sana pale the blues

    Jibu

    Itakuwa poa sana

    Jibu

Acha ujumbe