Mlinzi wa Chelsea Andreas Christensen ameeleza sahuku yake ya kutaka kubaki Chelsea lakini mpaka sasa bado hajafanya mazungumzo yeyote ya mkataba mpya mpaka sasa.
Mkataba wa mchezaji huyo wa kimataifa wa denimark wa miaka minne unamfanya apokee kiasi cha £140,000 kwa wiki, huku kukiwa na kipengere cha kuongeza mwaka mmoja ambapo ingaebidi mazungumzo yangeanza agosti lakini mpaka sasa hakuna mawasiliano yaliofanyika mpaka sasa.
Christensen mwenye miaka 25 wakati akihojiwa alisema, “najua sana mengi yanasemwa, siwezi sema sana, lakini nadhani ni vizuri.”
“najisikia furaha kuwa kwenye klabu hii, na najihisi chelsea kuwa ndio sehemu sahihi kwa uingereza.”
Christensen amecheza michezo 137 akiwa na chelsea huku michezo 27 ni msimu ulioisha chini ya thoma tuchel, wakifanikiwa kuchukua ubingwa wa ulaya, pia safu ya ulinzi wa chelsea inawalinzi wa nne ambao mikata ya inakwenda kuisha juni, wakiwemo Rudiger, Christensen, Azpilicueta, na Silva.
Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.
CHEZA HAPA