Borussia Dortmund wanatajwa kuwa wanafikiria kujiandaa kumfukuzia Christian Eriksen mwezi Januari.
Mabingwa hawa wa Ujerumani walikuwa wanahusishwa na nyota huyu mwezi Oktoba, lakini dili halikuweza kukamilika. Taarifa zinasema dili hili linatazamiwa zaidi ni dili la mkopo.
Tuttomercatoweb wanaripoti kuwa Dortmund wanatarajia kurejea sokoni mwezi Januari.

Nyota huyu wa miaka 28 ameanza kwenye mechi tatu huku akicheza jumla ya mechi tano za Serie A msimu huu lakini bado hajafanikiwa kumshawishi mazima kocha Antonio Conte.
Kukosa mda wa kucheza klabuni hapo kumemfanya nyota huyu kuhusishwa na uwezekano wa kurejea Uingereza pia.
Hata hivyo, Dortmund wanataka kumshawishi nyota huyu wa zamani wa Spurs kuingia Bundesliga.
Unafikiri Christian Eriksen atafanya uchaguzi wa kurejea Uingereza au kwenda Bundesliga?
Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.
magdalena
dortmund watakuwa wamejipatia kijana mzuri sana akitu apo
Sauda
Dortmund watakuwa wamelamba dume.
Ester jackson
Kila la heri iwe kweli
Angelina
Habari njema kwa dortmund
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri kila la kheri kwake
Caroline
Eriksen ni mchezaji mzuriiiiii
Tatu
Dortmund wamepata mchezaji mzuri kazi kwao kumtumia vizuri
Janeflora malisa
Safi
Issa
Ericksen kajaribu bahat hukp
Saupha mohamed
Good
Hopemwaikuka
Imekaa poa
Sania
Ericksen nenda kapige kazi
Povel
Kila la kheri
aisha
Kila la kher
Rehema
Imekaa poa
Fatina mfingi
Kila kher kwake Ni jambo zur san
Rahma
Iko poa
Mwajumah
Kila la kheri iwe kweli
warda
Aje hata Man U kwani shida nini