Christiano Ronaldo Anatubeba Juventus - Giorgio Chiellini

Cristiano Ronaldo tangu atue katika timu  amekuwa na msaada mkubwa , hii ni kwa mujibu wa mchezaji mwenzake Giorgio Chiellini.

Ronaldo tayari amekwisha funga mabao 53 katiaka mechi 76 alizocheza akitokea katika klabu ya Real Madrid mwaka 2018 na kuwasaidia wababe hao wa Italia kushinda taji la Serie A msimu uliopita.

Nyota huyo wa kireno mwenye umri wa miaka 35 anaiongoza timu yake ya Juventus kukaa kileleni mwa ligi ya Serie A msimu huu, wakati huo huo wakiwa wamekwisha tinga hatua ya fainali ya kombe la Italia watakapoumana na Napoli jumatano hii jijini Roma

Mabingwa hao pia wamefika hatua ya 16 bora ya Ligi ya mabingwa Ulaya ambayo ilisimama kufuatia kuzuka kwa virusi vya Korona  .

Amekuwa akitusukuma, na kutufanya tucheze kwa ushirikiano mkubwa ili tusonge mbele , Nahodha wa Juventus alimwambia Martina Colombari kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram.Yupo katika hatua kubwa sana tunamchezesha tunamfanya awe bora

Mshindi huyo  wa tuzo ya Mwanasoka bora wa dunia (Balon d’or ) mara  tano , aliisadia timu yake kufuzu fainali za Coppa Italia mwishoni mwa wiki iliyopita ingawa alikosa penati lakini walifuzu kwa faida ya goli la ugenini .

Baada ya Fainali ya kombe la Italia Juve wataigeukia ligi ya Serie A ambapo kwa sasa wanaongoza kwa tofauti ya alama moja mbele ya Lazio,watakutana na Bologna wakiwa ugenini  baada ya michezo kurudishwa na chama cha mpira nchini Italia.

37 Komentara

    Ronaldo ni mahili katika mpira lakini anajisikia sana

    Jibu

    Yuko sahihi kwa mchezaji kama Ronaldo kila timu alopitia alikua sehem kubwa ya mafanikio kwenye club

    Jibu

    Cr7 yupo vzr uwepo wake uwanjan una goli tayar thnks meridian kwa update za michezo

    Jibu

    Mimi ni Timu Messi lakini cjawahi Beza kiwango cha Ronaldo na niwazi kuwa ameshafanya balaa lake ndani ya Juventus

    Jibu

    Safi sana Ronaldo nakukubali sana

    Jibu

    Ronaldo baba lao

    Jibu

    CR7 mtu mbayaaaa.

    Jibu

    CR7 anauwezo wa ajabu ndo maana timu anayochezea lazima iwe na mafanikio

    Jibu

    Yupo sahii kwamtu Kama Ronaldo kuwabeba anajierewa huyo anajua msumbuaji huyo Keene heneo lake

    Jibu

    yuko sahih

    Jibu

    Christiano ronaldo yuko vizuri

    Jibu

    Cr7 mnyama

    Jibu

    Cr7 mnyama.namkubali Sana

    Jibu

    Jeshi ilo

    Jibu

    Bila shaka Ronaldo Ni mchezaji anajiamini na muhamasishaji ndio maana anaonekana anawabeba Juventus na sio Juventus tu Bali kote alipopitia katika career yake ya Soka#meridianbettz

    Jibu

    Sio Sawa kusema anawabeba. Kwangu anatekeleza wajibu wake kwa timu yake #meridianbettz

    Jibu

    Cr7 namba mbaya hyo

    Jibu

    Hilo n jembe la juve

    Jibu

    CR7 noma kweli Ndio maana kila nchi aliyoenda amepata mafanikio sanaa

    Jibu

    Jeshiii

    Jibu

    Christiano Ronaldo no mnyama mkali

    Jibu

    Kweli kabisa wapo sahihi

    Jibu

    Kwa hakika Ronaldo yuko vzr mnoo

    Jibu

    Ronaldo ni mchezaji mzur anajituma na kujua ni nini anatakiwa kufanya hakiwa uwanjani big up kwake

    Jibu

    Ronaldo yupo vizuri sana

    Jibu

    Ronaldo ndo tegemez wa Tim Hilo halipngiki

    Jibu

    Daaa CR7 Ni moto mwingine#Meridianbettz

    Jibu

    Ni kweli kabisa Ronaldo ndio aliyeibeba juve na hawawezi kumtoa kwenye timu anawaletea mafanikio makubwa sana

    Jibu

    Safi lonaldo nakukubali sana

    Jibu

    Ronaldo anacheza mpira jmn.kwenye sifa tumpe sifa yake

    Jibu

    Ronald ni mchezaji mkubwa hata clubu alizochezea alikua chachu ya mafanikio

    Jibu

    Safi Sana namkubali Sana Ronald

    Jibu

    Sio juventus peke yake hata kwa timu yoyote ile akiwepo lazima afanye mambo yake

    Jibu

    Cr7 nimtu mmbaya huyo

    Jibu

    CR7 jeshii

    Jibu

    CR7 namkubali sana#meridianbettz

    Jibu

    Cr7 namkubali sana

    Jibu

Acha ujumbe