Ciro Immobile Na Lazio, Ronald Koeman Kuelekea 2020/21

Ciro Immobile amesaini mkataba mpya na Lazio wa miaka mitano.

Mkurugenzi wa mawasiliano wa klabu ya Lazio, bwana Stefano Dw Martino ametangaza kuwa Ciro Immobile amesaini mkataba mpya kuwepo klabuni hapo hadi 2025 .

Mshahara wa Ciro Immobile unatajwa kuwa ni kati ya Euro milioni 3.5 hadi 4 kwa mwaka, huku kukuwa na nyongeza mbali mbali kulingana na uwezo na kiwango atakachoonesha.


 

Kwingineko: Ronald Koeman na Maandalizi ya Msimu Mpya

RONALD Koeman, Kocha Mkuu wa Klabu ya Barcelona jana Agosti 31 alianza kuandaa kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2020/21 akitarajia kutokuwepo kwa nyota wao Lionel Messi.

Baada ya kutimuliwa kwa mkufunzi wa awali, Quique Setien, Koeman alichukua kibarua cha kuwanoa Barcelona waliokuwa wametoka kupokea kichapo cha aibu cha bao 8-2 dhidi ya Bayern Munich kwenye mechi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Picha ambazo zilizopigwa mazoezini zilionesha wachezaji waliofika mazoezini chini ya kocha huyu katika maandalizi ya kurejea dimbani kwa msimu mpya. Messi hakuwepo miungoni mwa wachezaji waliokuwa wakifanya mazoezi.

Kwa wachezajo waliokuwepo dimbani, winga Ousmane Demebele alionekana akipasha ndani ya vifaa vipya vya mazoezi vya timu hiyo. Gerard Pique alikuwa akichezea mpira huku Messi akikosekanika uwanjani wakati akiwa anahusishwa zaidi na uhamisho wa kutimba Manchester City.


 

SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

33 Komentara

    Wamepata jembe.Immobile yupo vizuri mno.hongera zao

    Jibu

    Kila la kher

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Kila lakheri immobile

    Jibu

    mmmh inaasharia nini Messi kutoonekana kwenye mazoezini…?

    Jibu

    LAZIO inatambua thamani ya mfungaji kinara wa msimu Ciro Immobile ndio maana imemuongezea mkataba awepo klabuni kwa muda mrefu zaidi. Kitendo cha Messi kutotokea mazoezini amepigwa faini ya Euro million 1.1 na ameambiwa endapo ataendelea kutoonekana faini itaongezeka. Sakata la Messi linaharibu mshikamano ndani ya klabu#meridianbettz

    Jibu

    yupo vizuri sana

    Jibu

    Bora alivyosalia lazio

    Jibu

    all the best

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Ciro atafute timu ingine ili apate mafinikio zaid

    Jibu

    Noma sana.

    Jibu

    Inatisha

    Jibu

    Lazio jembe huwa namkubali

    Jibu

    Kila la heri

    Jibu

    Immobile fanya yako sasa,lazio wamekuelewa!!!

    Jibu

    Cjaelewa hii habar

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Duuh

    Jibu

    Mimi naona ciro atafute sehemu ambayo itampa mafanikio zaidi

    Jibu

    Kila LA kheri

    Jibu

    Ingekua ngumu kwa Lazio kumuachia mfungaji bora wa italy.

    Jibu

    Immobile mtu makini

    Jibu

    Kila l khe

    Jibu

    Ronald Koeman n kocha mzur sana

    Jibu

    Noma sana

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Nomaa sanaa

    Jibu

    LAZIO inatambua thamani ya mfungaji kinara wa msimu Ciro Immobile ndio maana imemuongezea mkataba awepo klabuni kwa muda mrefu zaidi. Kitendo cha Messi kutotokea mazoezini amepigwa faini ya Euro million 1.1 na ameambiwa endapo ataendelea kutoonekana faini itaongezeka. Sakata la Messi linaharibu mshikamano ndani ya klabu

    Jibu

    Mithani mkubwa upo kwa Koeman katika kuisuka Barceolona Mpya

    Jibu

    Koeman mpaka kuiweka Barcelona kwenyi njia nzuri itachukuwa mda sana

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

Acha ujumbe