Klabu ya Manchester City imeingia kwenye rada za kumsajili kapteni wa Tottenham Hotspurs, Harry Kane na wametenga kiasi cha £90 milioni ($123m) kwaajili ya usajili huo.
Mshambuliaji huyo wa England anaye tegemewa na Jose Morihno, anaangaliwa na meneja wa City, Pep Guardiola kama mrithi wa muda mrefu wa Sergio Kun Aguero.

Kane hajafanikiwa kushinda taji lolote katika maisha yake ya mpira, akiwa na medali ya mshindi wa pili katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya.
Kane amecheza mechi 15 akiwa na Spurs msimu huu akifunga magoli 9 na kutoa pasi za magoli 10 huku akiwa na kadi ya njano 1.
Manchester City wakikamilisha usajili huu itakuwa ni moja kati ya sajilili bora zilizo wahi kufanyika katika klabu hiyo kwa kipindi cha muda mrefu.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?




warda
Kane amekaa sana Tottenham Hotspurs sidhani kama city wataweza mtoa
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif meridianbet
Shakila mrope
Asante kwa taarifa meridian bett
Magdalena
Wakimpata watakuwa wamepata jembe
Adelta
Yuko vizuri
Angelina
Itakuwa vizuri kama wakipata sain yake
Sania
Shavu hilo kwa Kane
Sarah
Yuko vizuri
Rahmal
Yuko poa
felister
Yuko vizuri
Hopemwaikuka
Anafaa kwa matumiz
Dorophina
Kane yupo vizuri watakuwa wamepata jembe
Lydia Emmanuel Magoti
Wandae mkwanja mapema tuuu walichukue Jembe kane
Issa
Kane kwenda city ni ndoto
Gabriel
Kane yuko vzur sana
Saupha mohamed
Yupo vizuri