City Wamuonya Phil Foden

Manchester City wamemkumbusha Phil Foden majukumu yake baada ya kuonekana amevunja sheria kwa kucheza mpira beach.

Kiungo huyo mwenye miaka 20 alipingwa picha akicheza mpira akiwa beach na watu wengi hivyo kuvunja sheria hiyo.

Sheria ya serikali kuhusu umbali wa mtu na mtu mwingine inasema watu wanaweza kucheza pamoja iwapo watakuwa na umbali wa mita na mpinzani wake.

Wachezaji wa Premier League kwasasa wameanza mazoezi ya kugusana kwenye vilabu vyao.

Japo, wametakiwa kuhakikisha wanaheshimu umbali wa mtu na mtu muda wote.

39 Komentara

    Taadhali lazima kabisa

    Jibu

    Sheria lazima izingatiwe

    Jibu

    Sheria lazima zizingatiwe

    Jibu

    Sheria lazima.

    Jibu

    Inabidi wajikinge kufuata masharti Ni vizuri walivyompa adhabu

    Jibu

    hii issue iko very serious sana

    Jibu

    Sheria lazima ifatwe

    Jibu

    Dogo kazingua!

    Jibu

    Sheria lazima ifuate mkondo wake thnks meridian kwa update za michezo

    Jibu

    Kwanini wanamuonya kafanya nini

    Jibu

    Wamefanya vyema sana ili liwefundisho kwa wengine

    Jibu

    Sheria lazima iwepo

    Jibu

    Akivunja Sheria anastahili kupewa onyo ili asijisahau Sana na owe funzo kwa wengine

    Jibu

    Dogo anadharau sana Sheria lzma ifuatwe

    Jibu

    Ni ngumu kweli

    Jibu

    Duh kazingua kweli apo Sheria lazma ihusike

    Jibu

    Kama vipi msameheni tuu phil foden

    Jibu

    Vizuri vigezo na mashart kuzingatiwa na asipo fata Sheria adhabu ihusike kwa yoyote ane kikuka mashart

    Jibu

    Phil usichukulie poaw corona

    Jibu

    Apewe adhabu mana amevunja sheria na ikiwa yeye anatakiwa afanye kitu cha mana ili wengine waige kupitia yeye

    Jibu

    Kashajua kosa lake hatorudia tena

    Jibu

    Tahadhari lazima#meridianbettz

    Jibu

    Wamefanya Jambo la msingi maana alivunja shelia

    Jibu

    Awajibishwe ili iwe fundisho kwa watu wengine

    Jibu

    Hatari

    Jibu

    Wako sahihi maana wamefunja sheria

    Jibu

    Sheria ifatwe ili iwe fundisho kwa wengine

    Jibu

    Nadahani ata yeye atakuwa alichukua taadhari kabla ya kujumuika kwako sio rahisi kwa kipindi hiki wakajumuika hivi bila kuchukua taadhari

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    dah kwel sheria zifuatwe

    Jibu

    Dogo anadharau Sana Sheria ifate mkondo wake

    Jibu

    Axante kwa hilo

    Jibu

    Sheria ifuate mkondo wake Kama kavunja Sheria apewe onyo

    Jibu

    Duh sheria ifuatwe

    Jibu

    City wako makini sana mpaka raha ,na sisi Tanzania tunatakiwa kuiga wachezaji wetu wafwatiliwe kila waendako kama wako nje ya sheria na kanuni waambiwe.

    Jibu

    Dogo anajua Sana.

    Jibu

    Taadhari lazima kabisa

    Jibu

    Foden anastail kwakuwa anajua kwa kipindi hiki ni kosa

    Jibu

    Amejua kosa lake hatorudia

    Jibu

Acha ujumbe