Clattenburg akubali makosa aliyofanya kwenye fainali ya CL 2016

Mark Clattenburg moja ya mwamuzi wa kiwango cha juu barani Ulaya. Alikuwa refa ambaye alipewa jukumu la kuchezesha fainali ya Ligi ya Mabingwa kati ya Real Madrid na Atletico Madrid huko Milan. Sasa, miaka minne baada ya mchezo, amekili kwamba bao la Real Madrid lilikuwa la kuotea “Offside”

Mark Clattenburg

Refa wa usiku huo, Mark Clattenburg, amekiri kosa lake akiongea na jarida la Daily Mail. katika maongezi hayo Mark Clattenburg alisema

“Katika mchezo huo wa fainali Real Madrid ilikwenda Mapumziko ikiongoza kwa goli 1-0 katika kipindi cha kwanza lakini bao lilikuwa lakuotea kidogo na tuligundua wakati wa mapumziko. Ilikuwa ni offside ngumu kuona na msaidizi wangu alikosea,” Clattenburg

Mark Clattenburg

Lakini pia amesema kuwa kwa sababu ya kosa hilo, aliweza kuwatuliza Atletico Madrid kwani aliwapa penati katika kipindi cha pili. Pepe alimwangusha Torres, lakini Griezmann akakosa kwa kugogesha mwamba. kitu ambacho hakikua sahihi kufanywa na muamuzi wa kiwango chake.

Mjadala umezuka kwa wadau wa soka wanahoji je ni sahihi mwamuzi kusahihisha makosa kwa kufanya kosa jingine??

15 Komentara

    asante meridianbet kwa update

    Jibu

    Alikuwa amekosea kwa offside ila kusema kwamb aliwapA penalty atletico hii haijakaa vizur

    Jibu

    Thnks meridian kwa habar za kimichezo

    Jibu

    Asante kwa taarifa nzuri

    Jibu

    good newz# meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa kunijuza

    Jibu

    asanteni meridian kwa taarifa

    Jibu

    safi kw habari tamu za michezo. huyo refa namkubali sana # meridianabettz

    Jibu

    Hii ni sahihi kabisa kwenye michezo haswa mpira wa miguu kwani kunawakati Muamuzi anatakiwa kurekebisha makosa yake ili kubalance mchezo haswa pale anashindwa kufanya uamuzi sahihi kwa timu husika.

    Jibu

    Kimtazamo hivyo ndio vitu vinachangamsha mpira kuufanya uwe midomoni mwa watu hizi VAR zinatuaribia radha za mpira tu

    Jibu

    We refa unayumba.

    Jibu

    asanteni meridian kwa taarifa

    Jibu

    refa yuko vzr

    Jibu

    Ahsant sana meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Ahsanteni kwa kutufahamisha mengi amabayo tulikua hatuyafaham

    Jibu

Acha ujumbe