Conte Amuwaza Kante

Inter Milan wanafikiria kumnunua kiungo wa kati, Mfaransa N’Golo Kante huku Blues wakiwa tayari kusikiliza ofa kwa ajili ya kumuuza mchezaji huyo wa Ufaransa.

Bosi wa Inter, Antonio Conte amekuwa akivutiwa na nyota huyo tangu alipokuwa Stamford Bridge na wawili hao waliweza kutwaa taji la Premier League wakiwa pamoja Chelsea.


Kante mwenye umri wa miaka 29 amekuwa akisumbuliwa na majeraha huku mkataba wake ndani ya Chelsea ukitarajiwa kumalizika mwaka 2023. (Gazzetta dello Sport, via Metro)

Kante kwasasa ni majeruhi akiugulia nyama za paja ambapo amekosa michezo kadhaa tangu alipoumia kwenye mechi ya Ligi Kuu dhidi ya West Ham, atakuwa nje hadi mwisho wa msimu 2019/20

44 Komentara

    Hii habari nzuri kwa kante

    Jibu

    Kante ni mchezaj mzur sana anafaa kwa matumiz

    Jibu

    Kante ni mmoja ya viungo Bora hv sasa kila timu inataman kuwa na kiungo Kama yeye,

    Jibu

    Lazima amuwaze ni kijana mbunifu na anejituma katika soka

    Jibu

    Bola nGolo usepe tu Chelsea limesha kua dampo la hospital….

    Jibu

    wamchukue tu Kante yupo vizuri

    Jibu

    Kante ! Kiungo mkata umeme .Kama Conte atamsajili atakuwa amefanya usajili mzuri Sana#meridianbettz

    Jibu

    Inter kila mchezaj inamtak

    Jibu

    Inter kumng’oa kante ni ngumu sababu lampard ni kiungo ambae anamtegemea sana

    Jibu

    Uyo Safi tu mchukue kama vipi

    Jibu

    Kante ni kiungo mzuri sana amchukue atamsaidia

    Jibu

    habari njema

    Jibu

    Konte fundi sana ila chelsea haioni muhimu wake acha asepe2 kwa watu wanaojua umuhimu wake

    Jibu

    Conte anaelewa Sana kazi ya Kante

    Jibu

    Kante kiungo Bora anjitambua na anajua wajibu wake awapo uwanjan mwachen Conte amuawaze, maan na ufup wake full mbio

    Jibu

    Habar njema kwa ngo’olo kante

    Jibu

    Apeleke pesa ili aiziwe mchezaji maana nayo kilabu take haina mpango naye so atapa nafasi nzuri ya kumpata

    Jibu

    Akifanikiwa kumpata kante atakuwa amefanya usajili mzuri

    Jibu

    Ni vyema Kante kuondok

    Jibu

    Kante yupo makini sana ni vizuri waki msajili

    Jibu

    Kante yuko vizuri na ndio maana anakubalika

    Jibu

    Kante anastahili kusajiliwa anajua soka

    Jibu

    Kante ni mchezaji mwenye uwezo ingawa majeruhi madogo madogo anayapata kutokana na kazi Chelsea hawawezi kumuacha ngolo aondoke mana bado abaumuhimu kwenye klabu hiyo labda yeye afanye maamuzi yake ndipo atakapo ondoka

    Jibu

    Sizani kama Intel wataipata sain ya ngolo kante bado Chelsea wanamuitaji sana na ukiangalia zaidi bado mkataba wake hudai hadi 2023 labda tuangalie tu yeye mwenyew maamuzi yake

    Jibu

    kante ni kiungo mzuri sana kila klabu inatamani kua na kiungo Kama kante

    Jibu

    Kante ni mchezaji mzuri Sana wa mpira

    Jibu

    wasubiri kwanza apone ndo watafikiria kuhusu usajili wake

    Jibu

    Inter wafanye juhudi kumchua kante kwani ni mchezaji mnzuri na anayejima

    Jibu

    Safii niabari nzuri

    Jibu

    Itakuwa vema kama kante akiondoka chelsea

    Jibu

    Kante yuko vizuri ndio mana wanamkubali sana

    Jibu

    Conta lazima amuwaze kwa kweli

    Jibu

    Cante Ni jembe

    Jibu

    Ni Jambo zuri kante kuondoka

    Jibu

    Kama ataondoka ni jambo zuri

    Jibu

    Sio jambo baya

    Jibu

    Kitendo cha Antonio Conte kumtaka kiungo huyo n habar njema sana kwa club ya inter milan kwan Alifanya mwanzo wake mkuu huko Boulogne na kisha alitumia misimu miwili huko Caen, mwisho wa Ligue 1.
    Mwaka 2015, alijiunga na Leicester City kwa ada ya £ milioni 5.6 akawa mwanachama muhimu wa klabu ya kwanza ya Ligi Kuu yake msimu tu katika klabu.
    Mwaka uliofuata, alijiunga na Chelsea kwa ada ya ripoti ya £ 32,000,000, kushinda ligi tena katika msimu wake wa kwanza. Pia alishinda tuzo ya Mchezaji wa Mwaka wa PFA na ya Mchezaji wa FWA wa Mwaka akawa mchezaji wa kwanza kushinda vichwa vya nyuma vya ligi ya Kiingereza na vilabu tofauti tangu Eric Cantona mwaka 1992 na 1993.
    Kanté alifanya mechi yake ya kwanza ya kimataifa kwa Ufaransa mwaka 2016. Alikuwa amejumuishwa katika kikosi chao kilichomaliza kukimbia katika michuano ya mwaka huo wa Ulaya.
    16 Julai 2016 akauzwa kwanda Chelsea kwa £ milioni 3.2 akasaini mkataba wa miaka Kante alisema anapenda sana kuchezea timu kubwa sana na kuvaa jezi namba (7) ndani ya 23 Oktoba alifunga goli lake la kwanza.
    Kwa upande wangu namkubal sana kante na ndiye miongon mwa wachezaji ambao nawakubal nataman ata yanga tungemsajili

    Jibu

    Hii habari njema

    Jibu

    Wachuke ni wote

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Nihabari nzr

    Jibu

    Kanye Ni kijana mzuri
    Anajituma katika soka

    Jibu

    Habari nzuri Sana

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

Acha ujumbe