Meneja Antonio Conte na Klabu ya Inter Milan wamefikia makubaliano ya kuachana mara moja.

Meneja huyo anaondoka Inter, baada ya kuinoa kwa misimu miwili, akiwa ameshinda Scudetto moja na kufika fainali ya Ligi ya Uropa msimu uliopita wa kiangazi.

 

Inter Milan italipa karibu € 7m kwa Antonio Conte kuachana mara moja [mshahara ulikuwa € 13m hadi Juni 2022]. Makubaliano hayo yamefikiwa leo[jana].

Antonio atakuwa tayari kufundisha klabu yoyote bila kusita. Inter itatafuta meneja mpya huku Simone Inzaghi na Allegri wote katika orodha.

Matarajio ya Meneja huyo hayafanani na mipango ya klabu kwani Inter inahitaji kuuza wachezaji kwa € 80m msimu huu wa joto kutokana na hali ya kifedha. Ndio maana Inter na Conte waliamua kuachana.


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa