Kocha wa klabu ya Tottenham Antonio Conte aliripotiwa kuwa yuko njiani kwenda kuinoa klabu ya PSG huku akidai kuwa anataka alipwe mshahara mara mbili anaolipwa sasa kwenye klabu yake ya Spurs

Habari ilianza kusambazwa nchini Ufaransa na Le Parisien, kuwa kocha huyo alijipeleka mwenyewe kwenye klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Ufaransa Ligue 1, huku akihitaji mkataba wa miaka miwili.

Conte
Antonio Conte

Huku ikidaiwa kuwa kocha huyo kutoka nchini Italia alitaka alipwe kiasi cha €30milion kwa msimu, karibia mara mbili ya mshahara wake wa sasa ambao ni  €17milion ambao analipwa na klwabu ya Tottenham Spurs.

Pia kulikuwepo ba taarifa kuwa Conte, aliiomba PSG kumsajiri mshambuliaji wa Chelsea Romelu Lukaku ambaye alifanya kazi nae akiwa klabu ya Inter Milan, na kiungo wa sasa wa  Nerazzurri Nicolò Barella, na mkuregenzi wa michezo wa zamani wa klabu ya Roma Gianluca Petrachi ilikuweza kuweka mikakati ya usajiri.

La Gazzetta dello Sport, limethibitisha kuongeza na watu wa karibu wa Conte, ambao walisisitiza kuwa hakuna mazungumzo na yoyote. Habari hiyo ni ya uongo isiyo na msingi.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa