Meneja wa zamani wa Inter Milan, Antonio Conte,48 pamoja na klabu ya Tottenham wamefikia hatua za juu katika mazungumzo ya kukinoa kikosi hicho.

Conte aliachana na Inter Milan siku chache baada ya kutwa ubingwa wa Serie A 2020/21 na taarifa mbalimbali zinasema kocha huyo huenda akarejea tena London katika kikosi cha Spurs.

 

conte, Conte, Tottenham Wafikia Pazuri., Meridianbet

Ikumbukwe kocha huyo amewahi kukino kikosi cha Chelsea ya London msimu wa 2016-18 na kutwaa kombe la ligi kuu na FA.

Klabu ya Tottenham inatafuta meneja mpya baada ya kumtimua Jose Morihno , Conte ameibuka kuwa kinara wa nafasi hiyo baada ya kocha waliemtaka Massimiliano Allegri kurejea katika klabu yake ya zamani Juventus.

Kocha wa PSG Maurizio Pochettino alihusishwa kurejea katika kikosi hicho lakini matarajio hayo yaligonga mwamba baada ya miamba hao wa ufaransa kutoa ofa kubwa kwa kocha huyo.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa