Phillipe Coutinho alisawazisha jitihada za kiungo Luuk de Jong uwanjani Camp Nou na kuwapa Barcelona alama moja katika sare ya 1-1 dhidi ya Sevilla katika Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga).
Matokeo hayo yaliendeleza rekodi ya kutokufungwa kwa timu hizo katika La Liga hadi kufikia sasa msimu huu wa 2020-21.

De Jong alitumia makosa ya mabeki wa Barcelona walioshindwa kuondoa mpira wa kona katika dakika ya nane kabla ya Coutinho aliyerejea kutoka Bayern Munich mwishoni mwa msimu uliopita wa 2019-20 kusawazisha mambo dakika mbili baadaye.
Bao la Coutinho aliyeshirikiana vilivyo na Jordi Alba, lilikuwa lake la kwanza katika kampeni za msimu huu akivalia jezi za Barcelona.
Barcelona na Sevilla kwa sasa wamefikisha alama saba, tatu nyuma ya viongozi Real Madrid waliowafunga Levante 2-0 ugenini.

Antoine Griezmann na Lionel Messi walipoteza nafasi nyingi za kufungia Barcelona mabao zaidi katika kipindi cha pili.
Mbali na Ronald Araujo, mchezaji mwingine aliyesumbua zaidi mabeki wa Barcelona kwa upande wa Sevilla ambao ni mabingwa wa Europa League ni Jules Kounde ambaye alishuhudia mashuti yake mawili yakigonga mwamba.
Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!


lombo
asante meridianbet kwa habar moto moto
magdalena
coutinho fundi sana anajua uyu jamaa
Mwajumah
Namkubali sana coutinho
Hidaya
Nyota imewaka kwake
Zeiyana
Kama Barcelona watamtumia vizuri countnho hata wafaa sana
Janeflora malisa
🔥
jullie
yuko vizuri dogo
Issa
Cortinho ni hatari barca ilikosea kumuacha
Amiri Kayera
Huu msim wake amekua kweny kiwango kizur msim huu
Sabrina
Cortinho fundi
aisha
Yuko vizuri sana
Hopemwaikuka
Kijana yuko vzur
Khadija
kijana yupo vzr sana
Povel
Tumain jipya kwa koeman ana kitu anawez kutu offer ndani ya nou camp
Shani
Courtnho ni moto
Neema
Courtnho katishaaa
Saupha mohamed
Courtnho yupo vizuri
Amani
Anajituma ndo inavyo takiwa
Sauda
Coutinho noma
David Pere
Tumain jipya kwa koeman ana kitu anawez kutu offer ndani ya nou camp
Dorophina
Coutinho yupo vizuri sana
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri kwa Countinho anajua jamahaa
Caroline
Coutinho ameanza vizuri msimu.
Tatu
Coutinho amewatendea haki barcelona
Angelina
Yuko vuzuri
Salma ngende
Yupo vizuri
Nasra
Yuko poa
felister
huu msimu wake
Samiah
Yupo vzr
Fatina mfingi
Yuko vizur
latifa juma mohamed
Asante meridian kwa habari njema.
Rehema
Yuko poa
Gabriel
Coutinho yupo vizuri sana