Klabu ya Aston Villa imemsajili kiungo mshambuliaji wa Barcelona, Philippe Coutinho kwa mkataba wa miaka minne wakitoa kiasi cha €20m (£17m).

Coutinho, 29 mwanzo alijiunga na Aston Villa kwa mkataba wa mkopo wa miezi 6 akitokea Barcelona baada ya kukosa nafasi katika kikosi cha meneja Xavi.

 

coutinho, Coutinho Ajiunga Villa Moja kwa Moja., Meridianbet

Phillipe ameichezea Aston Villa mechi 16 tangu alivyotua Villa Park katika dirisha la usajili la mwezi January akifanikiwa kufunga magoli 4 na kutengeneza mengine 3.

Ikumbukwe meneja wa Villa, Steven Gerrard na Coutinho wamewahi kucheza pamoja walipokuwa katika kikosi cha Liverpool katika nyakati za mwisho za meneja huyo alipoelekea kustaafu.

“Huu ni usajili bora. Phil ni mchezaji wa kuigwa na athari yake katika timu imekuwa wazi tangu alivyojiunga nasi mwezi January.” alisema Gerrard.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa