Licha ya kuwa usajili mkubwa kwenye EPL majira ya kianzi yaliyopita, CR7 hayupo kwenye orodha ya wanaowania tuzo za mwisho wa msimu kunako EPL.

Dakika za majeruhi, Cristiano Ronaldo alifanikiwa kurejea Manchester United akitokea Juventus, ni usajili uliotumia takribani masaa mawili tu kukamilika muda mfupi baada ya kusambaa taarifa kuwa Manchester City walikuwa wanamuhitaji.

Kurejea kwa CR7 kwenye EPL na mara ya kwanza United baada ya kuondoka Old Trafford mwaka 2009, kuliteka vichwa vya habari duniani kama ambavyo Messi alivyoondoka Barcelona na kwenda PSG.

Maisha ya Messi na Ronaldo hayawamazuri ndani ya uwanja msimu huu. Kila mmoja kwa sababu zake, hatujauona ubora wao unaofahamika kote ulimwenguni. EPL haijatikisika kwa uwepo wa Ronaldo. Baadhi ya wachezaji nyota wameendelea kumfunika CR7.

CR7

Kuelekea mwishoni mwa msimu wa 2021/22, hatimaye wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa EPL wamewekwa hadharani. Licha ya Ronaldo kutwaa tuzo nyingi za mchezaji bora wa mwezi msimu huu, mchezaji huyo hayumo kwenye orodha ya kuwania tuzo hiyo.

Son, Salah, De Bryune, Saka, Bowen, Trent, Cancelo na Ward Prowse ni wachezaji 8 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa msimu kunako EPL.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa