Cristiano Ronaldo, Happy Birthday 🎂


Cristiano Ronaldo, rasmi mfungaji bora katika historia ya mpira wa miguu, alisherehekea siku yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka 36 leo Ijumaa.

Ronaldo, ambaye ni mmoja wa watu mashuhuri wanaofuatwa sana kwenye mitandao ya kijamii, amepokea salaam mbalimbali kutoka kwa mashabiki zake wakisifu mafanikio yake katika siku yake ya kuzaliwa.

Cristiano Ronaldo ameshinda Ligi ya Mabingwa tano na vilabu viwili tofauti – Real Madrid (4) na Manchester United (1) pia ameshinda mataji mawili makubwa – Euro na Ligi ya UEFA – na nchi yake Ureno na amefunga mabao 102 ya kimataifa mpaka sasa.

 

Hivi sasa yuko wa pili katika orodha ya mabao mengi ya kimataifa na anahitaji mabao mengine nane tu kumzidi mchezaji wa zamani wa Iran Ali Daei, ambaye kwa sasa anashikilia rekodi ya ulimwengu akiwa na magoli 109 kwa jina lake.

◉ Mfungaji Bora wa muda wote Duniani ngazi ya Vilabu.

◉ Mchezaji pekee kushinda makombe matano ya Ligi ya Mabingwa UEFA

◉ Mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or mara tano

◉ Mfungaji Bora wa muda wote wa Ureno

◉ Mfungaji Bora wa muda wote wa Real Madrid

                Happy Birthday Cristiano Ronaldo.🎂


TENGENEZA FAIDA KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

13 Komentara

    Happy birthday kwake

    Jibu

    Hbd Cr7

    Jibu

    Happy birthday 🎂🎂

    Jibu

    Happy birthday Ronald

    Jibu

    Happy birthday

    Jibu

    HBD CR7

    Jibu

    Happy birthday

    Jibu

    Hbd mpambanaji wetu katika soka mwenyezi mungu azid kukupigania katika MAISHA yako

    Jibu

    Happy birthday mtupia nyavu mora duniani

    Jibu

    Happy birthday 🎂🎂🎈

    Jibu

    Mwamba born again

    Jibu

    Live long champ

    Jibu

    Atafikisha tu

    Jibu

Acha ujumbe