Dani Alves amekuwa na bahati mbaya baada ya kupunguzwa kwenye kikosi cha timu ya Barcelona kitakochoshiriki michuano ya Europa League kutokana na kanuni ambayo inahitaji wachezaji watatu kwenye usajiri mpya.
Barcelona kwenye dirisha la usajiri mwezi huu january wamesajiri wachezaji wapaya wanne ambao ni Ferran Torres, Adama Traore, Pierre-Emerick Aubameyang na Dani Alves lakini sheria za UEFA inahitaji ongezeko la wachezaji watatu kwenye dirisha la majira ya baridi.
Barcelona ilikuwa inahua kuwa moja ya wachezaji wao wapya mmoja asingweza jumuisha kwenye kikosi ambacho kitacheza michuano ya Europa League na sasa wameshakubalina na kuamua kumuache nje ya kikosi hicho Dani Alves, kuachwa kwake unamfanya Sergino Dest kuwa beki pekee wa kulia kwenye kikosi hicho.
wachezaj wapya waliosajiliwa na klabu ya barcelona kila mmoja tayari keshapewa jersey namba yake atakayoitumia ndani msimu huu,Traore amepewa jersey namba 11, Aubameyang 25 huku Torres akivaa namba 25.
Safari ya klabu ya Barcelona kwenye ligi ya Europa itaanza tareha 17 february, amabapo watawakaribisha klabu ya Napoli kwenye mzunguko wa kwanza hatua ya mtoano kavla ya wiki mbili mbele kucheza mchezo wa marudiano kwenye dimba la Naple.
Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.