Danny Ings Nje Wiki 6.


Mshambuliaji wa England na Klabu ya Southampton, Danny Ings amefanyiwa upasuaji baada ya kupata jeraha la goti katika mchezo dhidi ya Aston Villa mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

Danny Ings Nje Wiki 6.

Ings aliyeanza vizuri mashindano ya EPL msimu huu akipachika wavuni magoli 6 msimu huu katika mashindano yote na kuisaidia timu yake kuskaa katika nafasi ya 5 katika msimamo wa Ligi kuu Epl.

Danny Ings atakuwa nje kwa muda wa wiki 4 mpaka 6 baada ya kufanyiwa upasuaji mapema wiki hii.


USHUJAA UNAKULIPA HAPA!

Hii ni halisi kwa ajili ya mashujaa wote! Ukiwa jasiri unavuna mkwanja kibao hapa na sloti hii ya Huangdi Casino. Waka nusu tukupe maradufu!

Ingia Mchezoni!

23 Komentara

    Duuh pole sana Danny Ings

    Jibu

    Danny pole Sana

    Jibu

    Pole sana soon utakuwa sawa

    Jibu

    Pole Sana.utapona tu

    Jibu

    Get well soon Danny

    Jibu

    Pole yake danny

    Jibu

    Duu pole yake mungu amfanyie wepesi apone aludi kwenye Hali yake

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Mungu stakusaidia utapona

    Jibu

    Pole sana kijana

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole sana danny

    Jibu

    Dah pole sana Danny

    Jibu

    Pole sana utakua sawa tu

    Jibu

    pole sana mpambanaji danny ings

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Poa haraka

    Jibu

    I feel so sorry for him

    Jibu

    Ings ni pigo sana kwa southampton

    Jibu

    Get well soon

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Inatakiwa apewe pole tu

    Jibu

Acha ujumbe