Darren Bent: Wachezaji Watano Man Utd Inabidi Iachanenao

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Aston Villa mabaye kwa sasa ni mchambuzi Darren Bent ametaja wachezaji sita ambao kocha mpya wa Manchester United ajaye inabidi aachane nao kwenye kikosi cha mashetani wekundu.

Kikosi cha United kimeondolewa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya, baada ya kufungwa kwenye dimba la Old Trafford kwa kukubali kichapo cha goli moja bila kutoka kwa ATL Madrid, hii inamaana kuwa United utakuwa msimu wa tano mfululuzo bila ya kushinda kombe lolote huku wakiachwa pointi 20 kwenye msimamo wa EPL.

 Darren Bent
Darren Bent

Darren Bent anaamini kuwa klabu ya Manchester United inaweza kuchukua miaka nane au zaidi kuweza kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya uingereza.

Darren Bent aliambia talkSPORT, ‘”kunasafari ndefu, nilisema ni miaka mitano ile siku lakini huenda ni miaka nane au zaidi.

‘Mtu wa kwanza kumbakisha ni de Gea, varane na utahitaji beki wa upande wa kulia mwingine nadhani. Nadhani Fred anapaswa kuondoka, Ronaldo, Cavani, Martial  na Pogba kocha mpya atakeyekuja hana budi kuwaondoa kwenye kikosi chake.”


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

Acha ujumbe