Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga kuwa wapo kwenye harakati za kumsaini beki wa kushoto wa KMC, David Brayson.
Bryson amekuwa akiitwa katika kikosi cha Taifa Stars tangu akiwa kikosi cha Gwambina msimu uliopita aliposajiliwa na timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja ambao mwisho wa msimu huu unamalizika.
Taarifa zinaeleza Yanga wapo kwenye hatua za mwisho kumsaini Bryson, ili kuja kuwa chaguo la kwanza katika nafasi ya beki wa kushoto ambayo tangu ameondoka, Gadiel Michael hakuna aliyefiti kwa uhakika.
Yanga kama watafanikiwa kumpata Bryson, maana yake kati ya Adeyun Saleh au Yassin Mustapha mmojawapo amaweza kuachwa.
MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Kila la kheri kwake