Mchezaji kinda wa Bayern Munich, Alphonso Davies ameongelea kuhusu safari ya maisha yake kwa ujumla mpaka kufika hatua hii, akikiri kupitia chamoto nyingi.

Tulipitia katika nyakati ngumu wakati nikiwa mdogo sana na ninawashukuru sana wazazi wangu. Safari yao ilianza wakati wa vita vya kisiasa huko Liberia, na kuja kuishi Canada kwa kupitia Ghana.

 

Davies - 'Safari Haikuwa Rahisi Kuwa Hapa.'

Ninaweza kuifurahia kila siku ya maisha yangu, lakini ninautambua upande mwingine wa maisha. Ndiyo sababu zaidi zinazonipelekea nijaribu kuwaonesha watu ni muhimu kiasi gani kuwa na ile dhana ya furaha na faraja. Ninajaribu kuyafanya hayo niwapo uwanjani.

Ilikuwa ni ndoto yangu kucheza soka katika klabu kama Bayern, dhidi ya vilabu vikubwa ulimwenguni. Sitoacha hata siku moja. Kamwe!” alisema Davies


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

davies, Davies – ‘Safari Haikuwa Rahisi Kuwa Hapa.’, Meridianbet

INGIA MCHEZONI

26 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa