De Bruyne - Uingereza Watatwaa Taji la Euro.


Kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Ubelgiji, Kevin De Bruyne anaamini kwamba Uingereza wana kila sababu ya kuwa mabingwa wa fainali zijazo za Euro na Kombe la Dunia.

 

De Bruyne - Uingereza Watatwaa Taji la Euro.

De Bruyne ambaye alikua Kiungo Bora wa Mwaka wa Shirikisho la Soka la Barani Ulaya (Uefa) na Mchezaji Bora wa Mwaka 2019-20 katika klabu ya Man-City, atakuwa sehemu ya michuano hiyo.

Lazima wanafurahi sana. Uingereza wana kikosi cha wanasoka wachanga walio na uwezo mkubwa uwanjani,”

Zipo timu nyingi zinazotamani kutwaa mataji ya michuano hiyo, lakini nahisi kwamba Uingereza ndio wana idadi kubwa ya wachezaji walio na uwezo wa kufanya vizuri na kuweka hai matumaini yao ya kutawala mashindano hayo. Na ni lazima watafanya hivyo,” alisema De Bruyne.

 

De Bruyne - Uingereza Watatwaa Taji la Euro.

Uingereza kwa sasa wanashikilia nafasi ya nne kwenye orodha ya viwango bora vya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).


Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua. 

Cheza sasa 

Samurai Ken Online Casino

30 Komentara

    Juhudi zao ndio mafanikio yao!!!

    Jibu

    Uingereza kweli wanaweza kuchukua ubingwa sababu wana wachezaji wazuri walio na uwezo

    Jibu

    wakiwa na juhudi za kutosha watatwaa tu

    Jibu

    Uingereza wanaweza kuchukua ubigwa wakiongeza juhudi zao tu

    Jibu

    Juhudi ndo mafaniko yenu

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Uingereza wakijitahidi taji watabeba

    Jibu

    Wajiandae kwer

    Jibu

    Mambo yasiwe mengi wafanye husajiri

    Jibu

    Uingereza wajitahidi wachukuwe taji

    Jibu

    Sababu ipo na nia wanayo watatwaa tu taji

    Jibu

    Kikubwa nia

    Jibu

    Wapambane hinaweza bahati hikawa kwao

    Jibu

    Kwa Uingereza hapana sababu wanakosa umakini

    Jibu

    Wapambane wachukue taji

    Jibu

    Mawazo yake tu natumain Kama watajituma wanawez kubeb TAJ la UERO

    Jibu

    Wawe na nia tu

    Jibu

    Hakika Uingereza ina nafasi kubwa kushinda EURO na hata kombe la dunia kutokana kukusanya vipaji vingi ndani ya kikosi

    Jibu

    Uingereza wanatakiwa wapambane ili kulipata taji hilo

    Jibu

    Kila kitu ni nia na jitihada inawezekana

    Jibu

    Game makini

    Jibu

    Walipambana sana ni haki yao

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Wakiongeza juhudi watashinda

    Jibu

    Wanatakiwa wawe na kikosi imara

    Jibu

    Kila kitu kinawezekana

    Jibu

    wajitahidi wachukuwe taji

    Jibu

    Umakin unahitajik

    Jibu

    Inawezekana tu

    Jibu

Acha ujumbe