Golikipa wa klabu ya Manchester United David De Gea anashauku na mchezo unaofuata dhidi ya Leeds ambao utapigwa kwenye dimba la Elland Road kwenye mchezo wa ligi kuu ya uingereza.

Golikipa huyo wa kimataifa wa timu ya taifa ya Hispania, kwenye mchezo dhidi ya Brighton alionyesha kiwango kizuri na kuisadia klabu ya Man Utd kuweza kupata ushindi wa goli 2-0, huku magoli yote yakifungwa na wachezaji wa kireno ambao ni Ronaldo na Bruno.

De Gea
De Gea

Wakati akihojiwa kuhusu mchezo unaofwata dhidi ya Leeds alinukuliwa akisema, “najua ni kuna ushindani mkubwa sana kati ya hizi timu, utakuwa mchezo mgumu, hususani wa ugenini dhidi ya Leeds, timu nzuri, timu ngumu na timu ya tofauti.

“Lakini tunapswa kushinda ikiwa tunataka kubaki kwenye nafasi nne za juu, na natumai tutakwenda na tutashinda.”

Alipoulizwa kuhusu mchezo wa ligi ya mabingwa wiki ijayo dhidi club Atletico, De Gea alijibu, “ndio, ni mchezo muhimu, lakini kwa sasa akili yangu iko kwenye mchezo wa Leeds,

“Tumejiandaa vizuri, na tupo tayari kwa ajiri ya leeds ndio mchezo wetu muhimu kwa sasa, sio kwangu mimi tu bali kwa timu kwa ujumla.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa