Klabu ya Manchester United inaripotiwa kukaribia kufikia makubaliano na Barcelona kumsajili Kiungo Frenkie de Jong baada ya mazungumzo kwenda vizuri wiki hii.

 

de jong, De Jong Kuelekea Old Traford ni Swala la Muda tu!, Meridianbet

Mkurugenzi wa Manchester United, Richard Arnold hivi karibuni alithibitisha klabu hiyo ipo kwenye mazungumzo na Barcelona kwaajili ya kupata saini ya De Jong.

Usajili wa Nyota huyo wa zamani wa Ajax unatajwa kuwa moja ya vipaumbele vya Man. United, huku Kocha mpya Erik ten Hag akitaka kuunganishwa tena na mchezaji wake wa zamani Old Trafford.

Huku vilabu hivyo viwili vikiwa kwenye mazungumzo kuhusu dili lenye thamani ya Pauni Milioni 69 inadaiwa United wana imani watafanikiwa katika usajili huo mwishoni mwa mwezi huu.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa