Klabu ya Everton imethibitisha kukamilisha uhamisho wake wa kwenda kwa mkopo nchini Uturuki kwenye klabu ya Besiktas kwa msimu wa 2022/23.

Dele Alli alijiunga na Everton akitokea klabu ya Tottenham kwenye dirisha la mwezi January na mpaka sasa ameingia kwenye michezo miwili tu ya ligi kuu ya uingereza akitokea benchi.

Dele Alli, Dele Alli Akamilisha Uhamisho wa Kwenda Besiktas kwa Mkopo, Meridianbet

Dele Alli baada ya kukosa nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye klabu ya Tottenhma alijiunga na Everton ili aweze kufufua ubora wake lakini nako alishinda kupata muda mwingi wa kucheza chini ya kocha Frank Lampard.

Besiktas ilimaliza kwenye nafasi ya sita msimu uliopita kwenye ligi kuu ya uturuki “Super Lig” na kwa sasa iko chini ya kocha wa zamani wa West Brom  Valerien Ismael.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa