Mshambuliaji wa Barcelona, Ousmane Dembele amelazimika kufanya mazoezi peke yake baada ya mapumziko ya muda wa siku nne kwa timu yake ya Barcelona kutokana na uwepo wa mechi za kimataifa kwa timu za taifa.
Kikosi cha Barcelona kinachonolewa na Ronald Koeman kilipewa muda wa siku nne kwa ajili ya mapumziko kabla ya masuala ya ligi kurejea ili wachezaji walioitwa timu zao za taifa kutimiza majukumu yake.

Licha ya kwamba wachezaji wamepewa mapumziko, Dembele alirejea uwanjani na kuanza kufanya mazoezi peke yake. Baada ya dirisha la usajili kufungwa na dili lake la kuondoka ndani ya kikosi hicho kushindikana ameanza kujiweka sawa ili kurejea kwenye ubora.
Dembele alikuwa kwenye mpango wa kufanyiwa mabadilisho ili aweze kupata timu nyingine ila ilishindikana na amekuwa akishindwa kuonyesha makeke ndani ya kikosi hicho kutokana na kusumbuliwa na majeraha.
Winga huyo hajawa kwenye kikosi cha kwanza tangu Novemba ndani ya Barcelona kutokana na kusumbuliwa na majeraha.
Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!


Shani
Corona imekua tishio ila heri kwa barcelona
Tatu
Dembele bado anaipenda Barcelona
Zeiyana
Dembele toka hapate majeraha amekua na matokea mabovu sana hitachukua mda kupata usajiri kwenye clabu yengine amekua kama mzigo tu
magdalena
dembele yupo makini sana anajituma mbali na majeraha aliyokuwa nayo
lombo
habar njema
Povel
Dembele ni Talent player shida ni majeruh yanatufany tukose ubora wake Kama alivyokuwah BVB
Asia Abdy
Tunasubiri tuone radha ya kijana
Nasra
Ngoja tuone uwezo kijana
Salma ngende
Vizuri
Zahara omary
Gud news
Saupha mohamed
Safi
Sauda
Kaz kaz Dembele
Neema
Dembele mpira uko damunii kwa kweli
Fatina mfigi
Tusubir tuone uwezi wake
Mwajumah
Ngoja tuone uwezo wa kijana
Gabriel
Dembele toka hapate majeraha amekua na matokea mabovu
Adelta
Asante kwa taarifa kuhusu Dembele na matokeo yake
Ernest
Ngoja tuone kama atakuwa na bahati na Koeman
Janeflora malisa
Ni vzr
Venerose
Habari njema
Caroline
Dembele is talented
Angelina
Goodnews
Elika
Dembele na Barca damdam
aisha
Dembele fanya yako wala usiwaze chochote watu wanataka kuiona ni kazi yako uwanjani
Rose kapinga
Dembele sasa yupo kazini
felister
tunasubiria tuone uwezo wa dembele
Genia Sikaluzwe
Ni nzuri
Rehema
Ngoja tuone